Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,491
- 5,934
Chai ya Kishumundu😁😁😁.......Tamu iyoooo.
so sad , karidhika maskini .. Wanafanya mchezo wa kuachana na kurudianaHata hivo utamtoa kizazi mwanamke anawezaje fanya ngono hivo kama ameolewa? Huyo mwanaume atakae muoa atakuta hali gani huko? Huyo dada huna mpango nae kila siku kumpanua aisee hana akili.
Ila wanawake wenzangu mmerogwa na nani? Mwanaume ambae sio mmeo anawezaje kukufanya sex toy? Na huyo unakuta ni mtoto mdogo hana hata 28 dah
Namuonea huruma huyo binti ..natamani aamke huko alikolalaLkn humtendei haki huyo dada. Hutaki kusikia ana mwanaume mwingine kumbuka wewe una ndoa tayari, hutaki kumzalisha, hutaki kumuoa mke wa pili hapo muda unaenda maskin atakuja shtuka kazeeka na hana lolote. Pole yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani maisha ya kutokuolewa magumu wanawake wangejua dah! Yaan unamfanya huku unamkwepa baadhi ya vitu na yeye anaenjoy anaona amefika, hapo akilini mwake anajua unamthamini kuliko hata mkeo na ndio maana ameanza kukufanyia visa ili mkeo ajue wako wawili. Na wewe DeepPond siku ukizaa na huyo kichaa wako ndoa itaishia hapo, mateso utayaona kwa huyo mcharuko wako, utakuja kurudi kwa mkeo muda umeenda sana moyoni ameshakutoa anakuona kama mkata nyasi. Yaan haufikiriagi visa anavyofanya ingekuwa mkeo ungemvumilia? Ana nini cha ajabu kuliko mkeo? Dah ungekuwa kaka/mdogo wangu hiyo umbwa ngeikomeshaKichwani nawaza nnanza vipi maisha haya na mtu mwnyw pasua kichwa huyu, nmewaza makasheshe yake yakianza, wife akijua nalipangua vipi hili.
Nilikua nishaanza kufikiria kuleta Uzi mnishaur naisolve vipi hii situation na yajayo najipanga vipi.
Ila nashkuru mungu alikua upande wangu,
Leo asbh nmemuelekeza maabara Kwa jamaa yang akapime,jamaa kanambia mimba Hana ila ana Malalia
Kama ipo labda itakua changa sana tusubir wiki ijayo inaweza kuonekana kama Bado atashindwa kwenda blidi.
Usiku huu saa 3 nmetoka kwake nmeacha Bado ni bila bila, saa 5 ananitext tayar kaanza kublidi, sikuamini nikajifanya natoka nje naongea na sim nmechukua boda haraka na kuelekea kwake kuthibitisha maneno ayo.
Aisee kweli nmejionea live kaanza kublidi,
Wakuu nmerud nyumbani ila hata usngz hauji Kwa FURAHA NILONAYO Moyoni mda huu HATA HAIELEZEKi
Ukiskia kupitishwa tanuri la moto,
Basi nmepitishwa na nmesota sana kisaikolojia,
Ndani ya hz siku chache nmemkumbuka sana mungu wangu, nmeomba na kusali sana kimoyo moyo.
Ila KWAKWELI nilichogundua
MUNGU ukimuomba Kwa dhati anajibu 100%
NA KWENYE HILI KANIPIGANIA SANA MJA WAKE
Japo nna miaka kibao sijaenda kanisani
Kwa hili kesho ni jumapili lazima nami nikasali kanisani na nikamtolee zaka ya shukrani[emoji120]
NAWASILISHA WAKUU[emoji120]
Huyo hawez pata vitone vidogo vidogo ni ngumu kusababisha mimba maan hapo kuna low concentration of semen and therefore sperms!!Mkuu na mimi nimepitia situation hiyo hiyo wiki iliyopita. Kuna manzi kichomi pasua kichwa yani akituma text mbili ya tatu lazima alalamike shida na mizinga yake ni kuanzia 50k huko. Halafu kanajiita superwoman! Bladifaken!!!
Nilikamia show ile wiki ya tarehe 3 nikatupia wazungu nje ghafla nashangaa mwenzangu kaukamata mkonga kaurudisha ndani vikiwa vinamalizika vitone vya mwisho. Nilikuja shtuka nikachomoa haraka but nahisi zilibaki ndani.
Aisee na nikipiga hesabu ni kama alikua siku za hatari but i was not 100% sure maana siku zake zinabadilika badilika sana ndani ya hii miezi mitatu iliyopita. Nipo nawaza hapa ila najua hili nalo litapita!!!
Hizo moments ni ngumu sana,Mkuu na mimi nimepitia situation hiyo hiyo wiki iliyopita. Kuna manzi kichomi pasua kichwa yani akituma text mbili ya tatu lazima alalamike shida na mizinga yake ni kuanzia 50k huko. Halafu kanajiita superwoman! Bladifaken!!!
Nilikamia show ile wiki ya tarehe 3 nikatupia wazungu nje ghafla nashangaa mwenzangu kaukamata mkonga kaurudisha ndani vikiwa vinamalizika vitone vya mwisho. Nilikuja shtuka nikachomoa haraka but nahisi zilibaki ndani.
Aisee na nikipiga hesabu ni kama alikua siku za hatari but i was not 100% sure maana siku zake zinabadilika badilika sana ndani ya hii miezi mitatu iliyopita. Nipo nawaza hapa ila najua hili nalo litapita!!!
Sio kweli mkuu.Huyo hawez pata vitone vidogo vidogo ni ngumu kusababisha mimba maan hapo kuna low concentration of semen and therefore sperms!!
Ila kusababisha mimba kuna factor lazima zizingatiwe
Concentration
Mobility
Shape
Kwenye
Kwa maelezo yako hapo ukija kwenye concentration ni ndogo sana maana inabid semen ziwe atleast 0.5-1 of teaspoon ili ziweze kusababisha mimba!
Na wakijua wamenasa, sarakasi zinazd balaaMkuu na mimi nimepitia situation hiyo hiyo wiki iliyopita. Kuna manzi kichomi pasua kichwa yani akituma text mbili ya tatu lazima alalamike shida na mizinga yake ni kuanzia 50k huko. Halafu kanajiita superwoman! Bladifaken!!!
Nilikamia show ile wiki ya tarehe 3 nikatupia wazungu nje ghafla nashangaa mwenzangu kaukamata mkonga kaurudisha ndani vikiwa vinamalizika vitone vya mwisho. Nilikuja shtuka nikachomoa haraka but nahisi zilibaki ndani.
Aisee na nikipiga hesabu ni kama alikua siku za hatari but i was not 100% sure maana siku zake zinabadilika badilika sana ndani ya hii miezi mitatu iliyopita. Nipo nawaza hapa ila najua hili nalo litapita!!!
Yani mtu hajakojolea ndani af mimba inapatikanaje sasa?! Af kumbuka af amekuhadithia sio kwamba ulikuwa eneo la tukio!Sio kweli mkuu.
Kuna mtu 40 yrs kapata mimba ktk mazingira akikuelezea ni muujiza.
Imagine 40yrs na wamefanya kidogo tu na mtu hajakojolea ndan.Achen tu Mungu aitwe Mungu.
Dah! Hii kitu mwaka huu imezd snSijaelewa mahusiano ya damu za wanawake na hii miezi miwili February na March, hata mie ingekuwa nimecheza kamchezo ningehisi huenda ni mimba, mzunguko wangu ni mfupi ila time hiki nilipitiliza siku moja kwa mujibu wa tarehe lakini kwa ufupi wa mzunguko basi nilizidi siku 4 , yani kwa lugha nyingine kipindi hiki nimekuwa na mzunguko wa wastani(28-30), hata kama February ni mwezi mfupi, kwanini mzunguko ubadilike? Na ni kwa miezi hiyo miwili tu kila mwaka?
Sasa kwa suala la huo mchepuko nakutoa wasiwasi Feb na March huwa vina mabadiliko sana ya mizunguko yetu wanawake