Balaa: Mwezi huu, nimenusurika kumpa mimba mchepuko

Balaa: Mwezi huu, nimenusurika kumpa mimba mchepuko

Mkeo shughuli anayo, tena nzito. Nadhani huwa tunawakosea wake zetu ila mkuu wewe unazidisha, she doesn't deserve unachomfanyia.
Sikio la kufa huyu..hata asemwe vipi humu bado anmtarufi kesho yake kujinasibu waziwazi kwamba mke wake hajui na ana heshima namna anamkosea na bado hamfanyi chochote...kashashindikana huyu, mwacheni dunia itamfunza
 
Nasikia yule mshenzi askari aliyechanwa marinda uko unguja kapandishwa kizimbani mbwa yeye
 
Kichwani nawaza nnanza vipi maisha haya na mtu mwnyw pasua kichwa huyu, nmewaza makasheshe yake yakianza,

Ndani ya hz siku chache nmemkumbuka sana mungu wangu, nmeomba na kusali sana kimoyo moyo.

Ila KWAKWELI nilichogundua
MUNGU ukimuomba Kwa dhati anajibu 100%
NA KWENYE HILI KANIPIGANIA SANA MJA WAKE
😅😅😅 Dah aseeeh Sasa Braza si umteme tu huyu mwanamke
 
Back
Top Bottom