Balaa: Mwezi huu, nimenusurika kumpa mimba mchepuko

Balaa: Mwezi huu, nimenusurika kumpa mimba mchepuko

Mkeo shughuli anayo, tena nzito. Nadhani huwa tunawakosea wake zetu ila mkuu wewe unazidisha, she doesn't deserve unachomfanyia.
Hahahahah mke wake hamfikishi kileleni ndio shida 🤣🤣🤣!

Si unajua wake zetu walivyo ukipiga kimoja anasema kachoka wakati wewe bado unataka kuendelea kumsimika konga. Dawa ya kutokumkera ni kuwa na option ya pili inayokupa raha tu.
 
Hata hivo utamtoa kizazi mwanamke anawezaje fanya ngono hivo kama ameolewa? Huyo mwanaume atakae muoa atakuta hali gani huko? Huyo dada huna mpango nae kila siku kumpanua aisee hana akili.
Ila wanawake wenzangu mmerogwa na nani? Mwanaume ambae sio mmeo anawezaje kukufanya sex toy? Na huyo unakuta ni mtoto mdogo hana hata 28 dah
 
Sijaelewa mahusiano ya damu za wanawake na hii miezi miwili February na March, hata mie ingekuwa nimecheza kamchezo ningehisi huenda ni mimba, mzunguko wangu ni mfupi ila time hiki nilipitiliza siku moja kwa mujibu wa tarehe lakini kwa ufupi wa mzunguko basi nilizidi siku 4 , yani kwa lugha nyingine kipindi hiki nimekuwa na mzunguko wa wastani(28-30), hata kama February ni mwezi mfupi, kwanini mzunguko ubadilike? Na ni kwa miezi hiyo miwili tu kila mwaka?

Sasa kwa suala la huo mchepuko nakutoa wasiwasi Feb na March huwa vina mabadiliko sana ya mizunguko yetu wanawake
 
Yani huyuu anaweka maisha yake peupee sanaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo mwanamke wake siku akili zikimjia afatiliee huku aisee labda jamaa awe ana mmudu sana huyo mwanamke.
Jamaa huwa hatumii codes kwenye nyuzi zake anajiachiaga Sana
 
Hz chai zako zinaonyesha ubongo wako unachukulia wanawake kama takataka sbb;

Hakuna mwanamke hata mmoja ktk hizi hekaya zako uliyemheshimisha kuanzia mkeo,mamaJ,mdogo wake mamaJ,dadako wa kambo,fundi cherehani n.k.

Pia inaonesha una roho mbaya kwa ile chai ya kuharibu ndoa ya dada usiye na nia ya kumuoa.Chai zako zinareflect moyo wako.
 
Amfanye chombo Cha starehe mara ngapi?😅hiyo ni sex machine yake,eti akapagawa alipohisi kampa mimba mtu mwenyewe haeleweki 😅😅😅huyu mwanamke angejua jamaa anavyomchukulia kama lonya 😅😅bt kwajinsi anavyomwelezea anastahili anavyomchukulia,dampo la sperms zake🏃
Yaani huyo dada mpaka siku aje aziduke akili itakuwa ni too late.
 
Hata hivo utamtoa kizazi mwanamke anawezaje fanya ngono hivo kama ameolewa? Huyo mwanaume atakae muoa atakuta hali gani huko? Huyo dada huna mpango nae kila siku kumpanua aisee hana akili.
Ila wanawake wenzangu mmerogwa na nani? Mwanaume ambae sio mmeo anawezaje kukufanya sex toy? Na huyo unakuta ni mtoto mdogo hana hata 28 dah
Yaaan inasikitishaaa
 
Na hapo huyo dada utakuta kuna vijana wana nia kabisa ya kumuoa lkn anawazungusha na kuwapiga vibuti kwasababu ya penzi la mume wa mtu. Inasikitisha!
 
Back
Top Bottom