Bakwata washindwa kulipa walimu

Bakwata washindwa kulipa walimu

steyn

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
372
Reaction score
82
Walimu ktk shule moja ya sekondari mkoani DDM wapo ktk mgomo kudai mishahara yao baada ya baraza kuu la waislamu linalomiliki shule hiyo kushindwa kuwalipa mishahara.
"source" ITV habari asubuhi


BINAFSI NAJIULIZA HII ITAWEZAJI KULETA MATOKEO CHANYA KWA WATOTO WETU WA KIISLAMU?
NA SISI NDIO WA KWANZA KUDAI KUONEWA?
Kweli kuishi na yatima kazi mana ukimtuma dukani akidai "kwa kuwa yeye yatima",na wewe ukamwacha asiende ni kosa mana wazazi wake wangekuwa hai wasingemtuma?
 
Hiyo shule inawanafunzi wangapi? Idadi ya wanafunzi haijatosha kuleta pato la kuendeshea shule?
 
Alafu walalamike Oh mitihani haisaishwi vizuri kwa waislamu
 
Alafu walalamike Oh mitihani haisaishwi vizuri kwa waislamu

..........kwani walio kosa mishahara ndo wana sahihisha mitihani ? au umewafananisha na Ndalichako ? :confused2:😕
 
Walimu ktk shule moja ya sekondari mkoani DDM wapo ktk mgomo kudai mishahara yao baada ya baraza kuu la waislamu linalomiliki shule hiyo kushindwa kuwalipa mishahara.
"source" ITV habari asubuhi


BINAFSI NAJIULIZA HII ITAWEZAJI KULETA MATOKEO CHANYA KWA WATOTO WETU WA KIISLAMU?
NA SISI NDIO WA KWANZA KUDAI KUONEWA?
Kweli kuishi na yatima kazi mana ukimtuma dukani akidai "kwa kuwa yeye yatima",na wewe ukamwacha asiende ni kosa mana wazazi wake wangekuwa hai wasingemtuma?

..............ukizisoma statement hizo mbili zenye rangi, ni wazi utagundua dalili za unafiki !
 
Uongozi wa shule unawaambia waalimu wavumilie mpaka December. ETI VUMILIENI SI IMEBAKI MIEZI 2 TU? Khaaaaaaa! Haya mambo ya kumpeleka mtoto shule flani kwa sababu za kiimani hayaingii akilini.
 
Kwa hili ndugu zangu haina haja ya kubishana......hawa BAKWATA wamaetukwamisha na kutufedhehesha sana. Jamuhuri ni shule kongwe na ilitakiwa kuwa na uwezo wa kujiendesha.

Wanatakiwa kuachia ofisi wenye uwezo wafanye kazi.............
 
..........kwani walio kosa mishahara ndo wana sahihisha mitihani ? au umewafananisha na Ndalichako ? :confused2:😕

Shida ya kichwa ngumu huwa ni kuelewa. Alichomaanisha hapo ni kwamba watoto hawasomi kutokana na mgomo wa walimu halafu wakifeli mnawalaumu wasahihishaji.

By the way, muanzisha mada ni mnafiki. Na sidhani kama ni muislamu
 
Vipi kama wazazi hawana uwezo wa kulipa ada? Hapa ndio OIC inapoliliwa

Hiyo OIC haina uhusiano wowote na shule. Mtu ambaye yeye mwenyewe hajasoma atashabikia elimu kwa msaada wa ubongo wa jirani yake au?

Jumla ya vyuo vikuu katika nchi wanachama wa OIC ni around 507 idadi inayozidiwa na India peke yake.

Ungeniambia kufadhili ugaidi ningekuelewa
 
Shida ya kichwa ngumu huwa ni kuelewa. Alichomaanisha hapo ni kwamba watoto hawasomi kutokana na mgomo wa walimu halafu wakifeli mnawalaumu wasahihishaji.

By the way, muanzisha mada ni mnafiki. Na sidhani kama ni muislamu

mi sijaelewa kwanini mumuite mwenzenu mnafiki, ni kwasababu kaanzisha mada, au kwasababu kasema shule ya waislam au kusema walimu hawajalipwa mishahara?! lingekuwa swala la uongo ningeelewa, na tungemuita mwongo, ila nafikiri unafiki ni vigumu kuu-justify kwa kusoma uzi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom