Bakwata wanataka Haki na Amani au Wali?

Bakwata wanataka Haki na Amani au Wali?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,279
Reaction score
96,496
Na MMM

UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri.

UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
 
Attachments

  • 20260321_203753.jpg
    20260321_203753.jpg
    117.3 KB · Views: 3
Na MMM
UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Mhii wahuni siyo watu wazuri
 
BAKWATA ni miongoni mwa taasisi huru zinazofanya kazi nzuri sana nchini.
hayumbishwi na porojo wala mihemko ya mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha kwenye uisilamu nchini.
 
Na MMM

UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri.

UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Wanachotaka CCM ndicho watakachotaka BAKWATA.
 
Na MMM

UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri.

UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na kuifanya ionekane ni sehemu ya matumizi ya dola. Jambo ambalo linachafua taswira nzuri ya UISLAM. BAKWATA wenyewe hawaelewi wanataka HAKI, AMANI au WALI.
Hiki chombo ni project ya serikali.. Sheikh Ponda anakijua vema sana
 
Back
Top Bottom