Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,391
Sio Chombo cha Waislamu Wote: Mahakama ilibainisha kuwa BAKWATA siyo chombo pekee kinachowakilisha Waislamu wote nchini.BAKWATA ni miongoni mwa taasisi huru zinazofanya kazi nzuri sana nchini.
hayumbishwi na porojo wala mihemko ya mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha kwenye uisilamu nchini.