BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Hizo ndizo kodi za majengo waliwanyang'anya Harimashauri za Miji, Wanawang' anya vyanzo vya Mapato ili washindwe kuziendeleza Halimashauri, sasa pesa wanazopata ndizo hizo wanazitumia kuhonga Taasisi, Msishangae kesho Kusikia Mishahara ya Polisi na Jeshi imeongezwa.
 
Mi nadhan tunapaswa tushukuru Tu. Maana kama hilo jengo lingekuwa linajengw kwa ajili ya kanisa au umoja wa makanisa si ingekuwa issue kubwa sana hapa duniani?

Tuwe na shukran wakat mwingne kila mtu atashangaa sisi wengine ni walalamishi kila jambo
 
Hapa duniani hakuna kitu cha muhimu kama Muda -Time

Muda ndio unatoa majibu ya kila kitu na muda ndio una solve matatizo.

Leo hii muda umetujibu yale Mambo ambayo waislam wengi akiwemo Mzee wangu Mohammed Said kuhusu uhusiano, hila na dhana nzima ya Serikali ya CCM kuua EAMWS na kuanzisha BAKWATA.

Hii ni similar doctrine wanayotumia US kui control Saudi Arabia.

Je waIslam hawana huwezo wa kujenga hiyo office ya 5bil?

Je Serikali ilishamaliza kuwajengea hao BAKWATA, Pia itaenda kuwajengea KKKT, Pentecostal Churches, RC, Wasabato... etc.

Asante sana Mzee wangu Mohammed Said. With time... kila kitu Kitapata jibu.

Huyo Makonda alikuwa anaongea na mbuzi?? punda au binadamu wanaojiita waislamu?

hakuna unafiki mbaya na mkuu kama nyie ndani ya waislamu hamna akili, utashi , ni kama mazezeta ya Yanga au Simba,

ni kama mtu anakuvua chupi unakaa kimya na kusema unaona, nilisema tu utanivua chupi!!!!///seriously??

hao waislamu wenzenu ambao wanatumika na serikali, wamepokea misaada mbona wako kimya???

na nyie wenye roho safi na msio upande wa serikali mnasemaje?? mbona mko kimya mnabakia kwenye JF

Yaani kwa akili zako unaona kabisa kabisa kabisa kabisa ni tatizo la serikali hili??? kabisa yaani???
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
Ili kupata kura za waislamu aliyekuwa rais wa tanzania Bejamin Mkapa kama alivyofanya kwenye uporaji wa mgodi wa kiwira, alipora chuo cha tanesco morogoro na kuwapa waislamu.Huu haukuwa uamuzi sahihi hata kidogo. leo tunaambiwa mkuu wa mkoa wa dar ea salaam, Paul Makonda anataka kujenga ofisi za bakwata. hizo pesa atapata wapi au ndo kuwaita wafanyabiashara na hasa wahindi wachangie, zikiwemo pesa safi na chafu? Katika sherehe za Idd, mwaka huu Rais Magufuli kaahidi kurejesha mali za waislamu. Anazijua, zipo wapi? Serikali inataka kutuambia Waislamu wenyewe wameshindwa kuzirejesha? Umefika wakati wa kukemea hali hii mbona Tanzania inaanza kupenyeza siasa kwenye dini? Ushindi wa ccm tangu awamu ya pili ya kikwete na kuja kwa magufuli umeporomoka vibaya, jamaa wanaliona hili na ndiyo sababu mikutano ya siasa inapigwa marufuku. Kujiingiza kwetu waislamu, CCM inatafuta kura zetu na pia inataka kutunyamazisha.
 
Maandalizi ya katiba mpya,
Magu anataka support matabaka yote ili awe mungu mtu vizuri.Dikteta yoyote dunia hiyo mi moja ya tabia zao
 
Kuna kitu nadhani Wakristo wengi hawakijui. BAKWATA:

1) Sio chombo cha kila Muislam
2) BAKWATA, kama ilivyo KKKT au TEC, au chama cha waendesha baiskeli wa Shinyanga, is a non profit, non governmental organisation.

Kwa hiyo support ya Serikali kwa Waislamu wa Tanzania haiwezi kuwa inapitia exclusively through BAKWATA. Serikali inataka Waislamu waji organize under the BAKWATA umbrella, kitu ambacho Waislam wengi wanakipinga. Ukimwambia muumini wa kwa Kakobe au wa Mama Rwakatare apokee support ya serikali kupitia KKKT (Walutheri) au TEC ( Wakatoliki) atakwambia over my dead body! Sio kila Mkristo ni Mkatoliki!

Sheikh Mkuu wa BAKWATA, kwa mfano, hatakiwi kutangaza sikukuu ya Kitaifa ya kumaliza Ramadhani kwa sababu sio Waislam wote wana subscribe to BAKWATA na hana mamlaka hayo kisheria. Hapo ndio unazaa wa kina Sheikh Ponda na Sheikh Basalleh wa Msikiti wa Mtambani, Msikiti wa Idrissa... extremist clerics though they are lakini wana haki ya kusema, again, mbele ya msajili wa non-profits za Tanzania, BAKWATA haina uzito na haki za kisheria kuzidi Chama cha Waendesha Baiskeli wa Temeke!

Sasa kwa nini BAKWATA ipokee support ya serikali kwa niaba ya Waislamu wote?
Mkuu umesomeka vizuri.
 
Wewe ndo jinga kabisa..Nimekufuatilia muda mrefu nikidhani labda utajirekebisha kwa kuwa kujua mantiki ya uliyem-quote,
Kumbe ndo zero brain..

Bora ukae kimya...Jinga kabisa
Unajua maana ya mantiki? Kiswahili hujaelewa, usiponielewa na hapa inabidi niandike kikwenu.

The guy I quoted is a bigoted person.

What he was insinuating on his post of which your brain seems not to be able to grasp, is his religious intolerance towards non-islamic members.

Derogating other religions not because of any harm they are doing to you, but simply because they are different, is preposterous and unacceptable. PERIOD.
 
Serikali pia imeahidi kujenga barabara ya lami kuelekea kanisa la mzee wa upako.. Au nalo ni la ccm?
Hiyo barabara itakuwa mali ya kanisa au mali ya watz wote?? Na vipi kuhusu hilo jengo la Bakwata unadhani litakuwa mali ya watz wote au ya waislam watiifu kwa bakwata.
Kujenga barabara ni jukum la serikali mkuu.
Mfano angeahidi kuwapelekea maji umeme nk isingekuwa ishu ila kuwajengea hiyo inadhihirisha yale malalamiko ya siku nyingi waislam kwamba Bakwata ni tawi la sisiem kwa maslahi ya sisiem
 
Mi nadhan tunapaswa tushukuru Tu. Maana kama hilo jengo lingekuwa linajengw kwa ajili ya kanisa au umoja wa makanisa si ingekuwa issue kubwa sana hapa duniani?

Tuwe na shukran wakat mwingne kila mtu atashangaa sisi wengine ni walalamishi kila jambo
Kiongozi hapa ndio mwisho wako wakufikiri?
 
Akifanya hivyo nitamwona bonge la popompo, kwa nini asije humu humu jf ajibu au atoe ufafanuzi aeleweke? Kwa nini aende huko na siyo tbccm lao?
siku hizi naona clouds ndo imekua ya taifa kila kiongozi anaitumia sijui kwann
 
Unajua maana ya mantiki? Kiswahili hujaelewa, usiponielewa na hapa inabidi niandike kikwenu.

The guy I quoted is a bigoted person.

What he was insinuating on his post of which your brain seems not to be able to grasp, is his religious intolerance towards non-islamic members.

Derogating other religions not because of any harm they are doing to you, but simply because they are different, is preposterous and unacceptable. PERIOD.
Ndio maana nimekuambia umem-quote kumbe hilujamuelewa....Ungerudia kusoma kwa makini ungegindua wala alikuwa hana upande wowote wa dini...

Jinga kabisa..
 
Huyo Makonda alikuwa anaongea na mbuzi?? punda au binadamu wanaojiita waislamu?

hakuna unafiki mbaya na mkuu kama nyie ndani ya waislamu hamna akili, utashi , ni kama mazezeta ya Yanga au Simba,

ni kama mtu anakuvua chupi unakaa kimya na kusema unaona, nilisema tu utanivua chupi!!!!///seriously??

hao waislamu wenzenu ambao wanatumika na serikali, wamepokea misaada mbona wako kimya???

na nyie wenye roho safi na msio upande wa serikali mnasemaje?? mbona mko kimya mnabakia kwenye JF

Yaani kwa akili zako unaona kabisa kabisa kabisa kabisa ni tatizo la serikali hili??? kabisa yaani???
Nimecheka sana ulichoandika...Ila waislam wanaokataa hiyo Hali wapo sema wanatupwa JELA kama Sheikh PONDA katabishwa mwisho wa siku katulia....sidhani kama ni vyema kuwalaumu
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?

Pombe Magufuli (PhD) ni genius, muda utaongea!
 
Back
Top Bottom