kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Tanzania banna...tatizo sio fund.....hiyo tasisi ni tasisi muhimu sana inatakiwa iwe huru! Zaidi ya teuzi za rais 75% zimeegemea upande wake unafikiri BAKWATA wanaweza tia neno? Kesho rais akijenga makanisa na kutoa kipaumbele kwa upande wake bakwata watatoa neno wakati wamepewa office?Relax tuu hata JK kuna makanisa na Taasis kibao kazipa Fund sana