BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Maswali uliyo uliza ni ya msingi. Naimani wanapita humu. Watupe majibu fasaha kwa maswali uliyouliza.
 
Serikali kusaidia taasisi za dini kuna tatizo gani? Hawa viongozi wa dini wamepewa magari ya serikali, mafuta ya serikali ambayo ni kodi zetu, mbona hatukuwahi kuona ni tatizo? Au tatizo ni billion 5 kwenda BAKWATA?
 
Hizo taasisi zote ziko Chini ya Serikali, ndio maana CHADEMA walilalamika kwamba Bunge linaendeshwa toka IKULU. Hillo Kanisa katoliki limesajiliwa na Serikali na Serikali hiyo hiyo inaweza kulifutia usajili wake likienda kinyume na masharti ya usajili. hivyo hivyo kwa TFF. Hiyo BAKWATA nayo imesajiliwa na Serikali kwa masharti ya Serikali. Wewe endelea kufikiri kwamba kuna taasisi huru ambapo hakuna mkono wa Serikali!
Kumbe wewe ndio maana hata kazi ya Umoderator ulifukuzwa hapa JF.

Unalijuwa kanisa katoliki wewe au unajifurahisha? Una uelewa wowote kuhusu Vaticano?

Waulize Illuminati watakueleza vizuri kanisa katoliki ni nini na ni kwa kanisa katoliki ni dola lenye ubalozi wake nchini Tanzania.

Rais wako au serikali yako ni sawa na sisimizi tu mbele ya Vaticano, hii mizaha ya kitoto watafanyiwa waislamu lakini si kanisa katoliki.

Ile mipesa ya wizi yote ya Escrow ilipitia account ya benki ya mkombozi inayomilikiwa na kanisa katoliki.
 
Mkuu, BAKWATA ni tawi halali kabisa la CCM! Limehalalishwa na lenyewe likaridhia kwa moyo mkunjufu kabisa! Kwanza BAKWATA iliundwa kama taasisi na jumuiya ya CCM!
 
Hilo Kanisa liko chini ya Serikali, asikudanganye mtu!
 
Mkuu, BAKWATA ni tawi halali kabisa la CCM! Limehalalishwa na lenyewe likaridhia kwa moyo mkunjufu kabisa! Kwanza BAKWATA iliundwa kama taasisi na jumuiya ya CCM!
Kama wahusika wameridhia kinachowauma ni nini?
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
bakwata.cct na tec zote zliundwa maalum kwa ajili ya usalama wa nchi enzi za mwalim
 
We mdini ni mbumbumbu na mweupe kichwani kwa kutumia maneno haya:

'makafiri'
'deen ya haki'
'wapagani'

Hivi kwanini unakuwa kichwa panzi kufikiri dini yako ni bora kuliko dini za wengine? Elimu yako haijakukomboa, bado unaendeshwa na mashehe wasio na shule vichwani?

Hakuna Mungu mbaguzi anaewachukia wakristo. Unaitaje majina ya ajabu watu wanaosali tofauti na wewe? Una elimu gani?

Mwisho, usiote kuwa kuna siku Tanzania itakuwa na mahakama ya kadhi kukidhi haja ya kundi la watu wachache. Ukikumbuka, lilishashindikana kwa Rais mdini aliyepita.
Wewe ndio mbumbumbu punguwani wahed, kwa akili zako za kutawaliwa akili na dini za wazungu au waarabu kamwe huwezi kuelewa nilichoandika hata urudie kunisoma mara 200.

Sijajuwa tu dini ya makafir na dini ya magaidi ipi bora maana wote akili zenu mmeshikiwa na wazungu na waarabu ndio mnawehuka utadhani na wewe kwenye makabila 12 ya Israel kabila lako limo!
 
Hilo Kanisa liko chini ya Serikali, asikudanganye mtu!
Wewe nimeshakueleza muda mrefu upeo wako ni mdogo sana.

Kanisa katoliki ni dola kubwa zaidi ya nchi ya Tanzania, Mafia wenyewe wanalielewa vizuri hili dola la Vaticano.

Tena ukitaka kulijuwa vizuri kanisa katoliki nenda Congo kanisa ndio limemshikia bango Josee Kabila aondoke madarakani mbona hana jeuri ya kulifuta?
 
Uislam na waislamu Tanzania unatumika kama ngazi ya kutawala.Waislamu hawana msimamo na umoja wa kutetea imani yao ndio maana serikali inawanunua kwa bei POA.
 
Bakwata inaruhusu ofisi zijengwe na serikali wao hata mia hawatoi!Kesho wataambiwa kiti moto iliwe misikitini watakubali wakikataa tunawafukuza kwenye ofisi zetu
 
Iyo bajeti kapitisha nani?,chanzo za iyo ela imetoka wapi? RC,KKKT,CATOLIC,WASABATO ETC nao watajengewa?
 
Wewe ndio mbumbumbu punguwani wahed, kwa akili zako za kutawaliwa akili na dini za wazungu au waarabu kamwe huwezi kuelewa nilichoandika hata urudie kunisoma mara 200.

Sijajuwa tu dini ya makafir na dini ya magaidi ipi bora maana wote akili zenu mmeshikiwa na wazungu na waarabu ndio mnawehuka utadhani na wewe kwenye makabila 12 ya Israel kabila lako limo!
Sikiliza we kiumbe, tatizo lako unaongozwa na elimu ya madrasa kuliko elimu ya kukukomboa kifikra. Matokeo yake unaanika ukilaza wako humu.

Udini wako unasababisha unatokwa povu jingi kukashifu na kukebehi dini za wengine bila sababu za msingi. Eti 'deen ya haki'!!! Hata mtoto wa darasa la saba akikusoma atashangaa ulivyo mtupu kichwani. Uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana.

Siku ukianza kujiona wewe ndani ya wengine ndipo utakapokuwa na fikra pevu.
 
Kila mtu anajua hii BAKWATA ni jumuiya tu ya CCM. Mwakilishi huru wa Waislam alikiwa BALUKTA (Baraza la Kuendeleza Koran Tanzania) ambayo ilifutwa na Mwinyi kwa maslahi yake binafsi.
 
Back
Top Bottom