BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Hapana Mkuu ,kodi za Nchi hii zinatozwa pia na kwa wasio na imani hizo za Dini.Lazima tuhoji tena kwa nguvu kabisa.Usiwe mtumwa wa fikra..
bakwata ni kataasisi kakulibeba lichama nyonyaji.
 
Mkuu nikufafanulie tu,hiyo pesa haitoki serikalini,Makonda amehamasisha upatikanaji wa hiyo pesa,inatoka kwa akina Mengi hata TEC wamechangia na mufti kasema bi halali kupokea hela ya mchango wa asiekuwa mkristo akasema hata mtume Muhammad (SaW) aliwahi kupokea,

Kama ndio hivyo hata fedha za mauzo ya kitimoto zimo ndani
 
namsubiri kesho lazima ataenda clouds tv kukanusha au kuwashambulia wanaompinga kwa hili
Akifanya hivyo nitamwona bonge la popompo, kwa nini asije humu humu jf ajibu au atoe ufafanuzi aeleweke? Kwa nini aende huko na siyo tbccm lao?
 
BAKWATA ni kitengo ndani ya CCM. Viongozi wake walishajinasibu mbele yao na wakanunuliwa kwa bei. Kwahiyo ni vigumu sana kuitenganisha CCM na "Baraza kuu la waislamu Tanzania".
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?

HUYO MAKONDA KATOAA WAPI BILIONI 5 ZA kujenga makaoo makuu ya bakwata ...si aseme TU ni "jamaa" YAKE HOME SHOPPING NDIO ANAJENGA
 
Waisilamu huwa wananishangaza sana. Kuna wakati walikuwa wanataka serikali kuwaanzishia mahakama ya kadhi, lakini wanapinga serikali kuwaanzishia BAKWATA

Nashukuru moto wa mahakama ya kadhi umepoa, na kwa kubana matumizi kwa JPM, itabidi wasubiri atakapokuwa hayupo madarakani!

Unaielewa vizuri mahakama ya Kadhi? Unaijua tofauti ya mahakama ya Kadhi na BAKWATA?
 
HUYO MAKONDA KATOAA WAPI BILIONI 5 ZA kujenga makaoo makuu ya bakwata ...si aseme TU ni "jamaa" YAKE HOME SHOPPING NDIO ANAJENGA

Umgesoa page zote mkuu
inaonekana zinatoka sehemu kwa kazi maalum
ku control taasisi....kwa malengo maalum
 
Waislamu karibu milioni 20 nchi HII kujengewa makaoo makuu NA home shopping KWA Mgongo wa MAKONDA ? Hata KILA muislamuakatoa shilingi 250 TU mnapata ...KWA maana ya KILA families watoe hiyo Pesa KWA wanafamilia ..Ili NA watoto watoe....
Sio vema kujitia unyonge ...Wakati majumba ya bilioni 5 hadi kumi yanajenga NA waumini wa parokia Au usharika mmoja Wenye waumini 10,000 TU KWA michango tena BILA kushirikisha matajiri
 
Umeongea kitu kikubwa saana
 
Hii haikubaliki hata kidogo. Vinginevyo BAKWATA watakuwa wamedhihirisha dhahiri kuwa wapo chini ya Serikali. Hivyo maamuzi yao yote yatakuwa influenced Serikali badala ya maslahi ya Waislamu.
 
Hii haikubaliki hata kidogo. Vinginevyo BAKWATA watakuwa wamedhihirisha dhahiri kuwa wapo chini ya Serikali. Hivyo maamuzi yao yote yatakuwa influenced Serikali badala ya maslahi ya Waislamu.

Na kuna watu wanaona ni jambo jema
 
system ya nchi hii inafahamu Kuwa, katika makundi ya Kijamii ambayo yanauwezo wa kusimama na kufight dhulma bila woga ni jamii ya Waislamu. Wanajua vizuri harakati za Maji aji na Vita za Mkwawa ambazo ziliongozwa kwa Spirit ya kukataa kuonewa (fahamuni kwamba Mkwawa na Wapiganaji wengi wa kusini walikuwa waislamu).
Plus harakati za Kupigania Uhuru na ule Ujasiri wa Waislamu kuichallenge Dola, mfano Ghasia za Mwembechai n.k

Sasa hii Spirit ya kukataa kuonewa iliyomo katika mafunzo ya Uislamu watawala wanaijua vizuri, ndiyo maana wanatumia Strategy ya Divide and Rule, Strategy ya kuwanunua watu influential na ikibidi kuwaisolate na kuwafunga viongozi "wabishi" wanaokataa kufuata script!

Lakini kitu kingine ni kwamba hizi favours zinalenga kuwafanya viongozi waache kukemea au kuanzisha madai ya kuwakerakera watawala kama vile " mahakama ya kadhi", " teuzi zinazolalamikiwa na Waislamu kuwa miongoni mwazo zimekaa kidinidini", etc

BWM alipoona joto la Waislamu limezidi, ili kulituliza akawapa majengo ya Tanesco Moro.
Mwingine akaona awape mshiko kwenye briefcase! Mapemaaa kabla fukuto la miguno halijawa kubwa!

Na sasa naona wanajengewa Jengo!
 
Vuguvugu liko juu sana sababu ya kuto balance teuzi! Na kutumbua waislam wa JK....Dau na Lugumi!! Ili kupooza....!! Imebidi ajibanze humo.....!!! Ajikombe kwenye mali za waislam na kuwajengea Bakwata!! Maana.....vuguvugu noma nchi itasimama!! Chukua hiyo
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
 
.....hapo dar ukienda temeke na mwananyamala hospital kina mama wanalala chini....huyo makonda anashindwa kuwasaidia...hapo dar huyu huyu makonda anaomba wadau wachangie madawati.....leo anapata wapi bil.5 za kuwajengea bakwata??.....taasisi za dini kila leo wana mikakati ya kusaidiana kujenga taasisi zao..na hili wala si shida....sasa hizi siasa kuingia kwenye taasisi ya dini inakuwaje??pesa wanachimba wapi??...hizi comedy tz haziishi..

Mbaya zaidi hili swala zito sana, kagusa sehemu nyeti sana? Sijui! labda kuna kitu wanataka kujua kwanza. Lakini kama ni tamko la kukuirupuka, nakosa kabisa uelewa na weledi wa kutosha katika kuleta hoja au taarifa za kitaifa. Mara zaeni tu shule bure, mara ooh, hatutawapa chakula wenye njaa! Sikatai BAKWATA kusaidiwa, lakini kwanini sasa?! Kweli Waislamu wanaihitaji hiyo BAKWATA ya bilioni 5 kwa hamu kubwa?!
 
Back
Top Bottom