BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Nais hii ishakua taasisi ya chama si taa sisi ya dini
 
Umgesoa page zote mkuu
inaonekana zinatoka sehemu kwa kazi maalum
ku control taasisi....kwa malengo maalum

Waislamu wasikubali kudhalilishwa hivi .....hata sisi wakiristo hatiwezi kukubali kujengewa Makazi muhimu Kama Hayo NA watu baki Kama ni serikali Au home shopping Au GSM waweke wazi .
Kwanza KWENYE ukristo jengo Kama Hilo hata uwe NA Pesa HAWAKUBALIANI ujenzi utoe Pesa zote ..lazima kuchanga Ili kugawana baraka.
Matajiri Kama Bakhresa wenye Pesa ZA halali wakichanga asilimia 50 % ya Hizo Pesa zilizobaki waumini wengine nao WANASHINDWA kuchuja baraka NA elf u elfu zao ?
 
Mtume mohamad (s.a.w)alisema zitakuja zama kutakuwa n viongoz wanafiki kwaiyo bakwata kuwa vibaraka wa serikali mm sishangai mtume wetu haneni uongo
 
Mkijua aliyeiunda bakwata mtajua ipi kazi rasmi ya bakwata
 
Bwana mkubwa ni mkatoliki na alionesha hilo dhahiri siku ya ijumaa kuu kwa kwenda kubusu msalaba pale saint Peters,

Hii nini maana yake? Kwa Wakatoliki hawana tatizo lolote na utawala huu, kondoo wao ndio yuko kwenye usukani.

Bwana mtukufu akatoka hapo akaibukia Lutheran kwenye ibada ilikuwa ni timing agongane na Laigwani pale lakini timing ilikuwa mbovu.

Hakuishia hapo akaibukia kwa Mzee wa upako ukiangalia vizuri ziara hizi kwa upande wa makafiri deal done.

Akawageukiwa wenye deen ya haki with cash money ndani ya briefcase na kuwaahidi kuzirudisha mali za wakfu za waislamu.....

Leo Makondeko kijana wa nyumbani Kawekamo anakaa na Bakwata kuwawezesha ujenzi wa ofisi.

Mmekwisha, ukimya wa kina Deus Kibamba na taasisi zote zenye kelele ukitaka kupata jibu sahihi Google Mussolini halafu angalia utawala wake Italy ulifanikiwaje na wakati alikuwa Fashisti?

Jibu ni rahisi tu aliliweka mfukoni kanisa katoliki na kanisa kwa neema ilizomwagiwa na huyu fashisti Papa na makadinali wake wakavaa miwani ya mbao kama vile hawaoni nchi ilivyokuwa inaendeshwa, mapadre walilipwa mishahara na serikali ya Italy na kama haitoshi kanisa likapewa nchi yake ndani ya Rome, nchi hiyo inaitwa Vaticano.

Hili ndilo linakuja kutokea huku tusipokuwa makini, wanaanza taratibu tu hivihivi ila ikifika wanataka waungwe mkono hadi na maradical kama Mohamedi Said basi Waislamu watapewa mahakama ya kadhi na makadhi wataingizwa kwenye payroll ya serikali, hapo unakuwa umeshawatia mfukoni waislamu na kuwaziba mdomo.

Huwa sipati jibu mpaka leo chuo cha Tanesco kidato kilichokuwa kinazalisha wataalam wa umeme kupewa waislamu kana kwamba hii nchi wapagani hawana haki.

Tuendelee tu kupiga makofi muda utaongea.
We mdini ni mbumbumbu na mweupe kichwani kwa kutumia maneno haya:

'makafiri'
'deen ya haki'
'wapagani'

Hivi kwanini unakuwa kichwa panzi kufikiri dini yako ni bora kuliko dini za wengine? Elimu yako haijakukomboa, bado unaendeshwa na mashehe wasio na shule vichwani?

Hakuna Mungu mbaguzi anaewachukia wakristo. Unaitaje majina ya ajabu watu wanaosali tofauti na wewe? Una elimu gani?

Mwisho, usiote kuwa kuna siku Tanzania itakuwa na mahakama ya kadhi kukidhi haja ya kundi la watu wachache. Ukikumbuka, lilishashindikana kwa Rais mdini aliyepita.
 
Relax tuu hata JK kuna makanisa na Taasis kibao kazipa Fund sana

Hakuna tatizo kuchangia ...tunaishi KWA Upendo wapo waislamu wanachangia kadi ZA makanisa NA wakiristo Miskiti lakini sio mtu mmoja ambaye mshahar wake Milioni 3 kusema ANAJENGA jengo la bilioni 5 ...wale wamasheria aliosema anawalipa mihsahara KWA Kiki wako wangapi...?
 
Mbaya zaidi hili swala zito sana, kagusa sehemu nyeti sana? Sijui! labda kuna kitu wanataka kujua kwanza. Lakini kama ni tamko la kukuirupuka, nakosa kabisa uelewa na weledi wa kutosha katika kuleta hoja au taarifa za kitaifa. Mara zaeni tu shule bure, mara ooh, hatutawapa chakula wenye njaa! Sikatai BAKWATA kusaidiwa, lakini kwanini sasa?! Kweli Waislamu wanaihitaji hiyo BAKWATA ya bilioni 5 kwa hamu kubwa?!
..utawala wa matamko....mifumo ya kiutawala imewekwa kando...
 
Bakwata siyo chombo cha waislam bali ni jumuia ya CHAMA CHA MAPINDUZI
1-Uvccm
2-Uwt
3-Tapa
4-Bakwata
Kwahiyo hapo CCM ndiyo inatengeneza jengo lake,na ndiyo maana waislam wanaikataa na ndiyo maana inatumika kukubali chochote,tuliosoma siasa zamani (kwa sasa)imefutwa tunajua hilo.
 
Waisilamu huwa wananishangaza sana. Kuna wakati walikuwa wanataka serikali kuwaanzishia mahakama ya kadhi, lakini wanapinga serikali kuwaanzishia BAKWATA
Kuna kitu nadhani Wakristo wengi hawakijui. BAKWATA:

1) Sio chombo cha kila Muislam
2) BAKWATA, kama ilivyo KKKT au TEC, au chama cha waendesha baiskeli wa Shinyanga, is a non profit, non governmental organisation.

Kwa hiyo support ya Serikali kwa Waislamu wa Tanzania haiwezi kuwa inapitia exclusively through BAKWATA. Serikali inataka Waislamu waji organize under the BAKWATA umbrella, kitu ambacho Waislam wengi wanakipinga. Ukimwambia muumini wa kwa Kakobe au wa Mama Rwakatare apokee support ya serikali kupitia KKKT (Walutheri) au TEC ( Wakatoliki) atakwambia over my dead body! Sio kila Mkristo ni Mkatoliki!

Sheikh Mkuu wa BAKWATA, kwa mfano, hatakiwi kutangaza sikukuu ya Kitaifa ya kumaliza Ramadhani kwa sababu sio Waislam wote wana subscribe to BAKWATA na hana mamlaka hayo kisheria. Hapo ndio unazaa wa kina Sheikh Ponda na Sheikh Basalleh wa Msikiti wa Mtambani, Msikiti wa Idrissa... extremist clerics though they are lakini wana haki ya kusema, again, mbele ya msajili wa non-profits za Tanzania, BAKWATA haina uzito na haki za kisheria kuzidi Chama cha Waendesha Baiskeli wa Temeke!

Sasa kwa nini BAKWATA ipokee support ya serikali kwa niaba ya Waislamu wote?
 
Si hii nchi haina dini kabisa?

Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?

Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?

Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....

Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?

Hiko kitu ni nini hasa?

Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?

Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?

Nani muathirika wa haya yoote?
Mkuu BAKWATA NI MOJA KATI YA JUMUIYA 5 ZA CCM ndiyo maana waislam hawaitaki,na inatumika kukubali kila jambo,mukikataa kauli ya bakwata ni maji ya upupu
1-UWT
2-UWT
3-BAKWATA
4-TAPA
5-JUWATA
 
Kuna kitu nadhani Wakristo wengi hawakijui. BAKWATA:

1) Sio chombo cha kila Muislam
2) BAKWATA, kama ilivyo KKKT au TEC, au chama cha waendesha baiskeli wa Shinyanga, is a non profit, non governmental organisation.

Kwa hiyo support ya Serikali kwa Waislamu wa Tanzania haiwezi kuwa inapitia exclusively through BAKWATA. Serikali inataka Waislamu waji organize under the BAKWATA umbrella, kitu ambacho Waislam wengi wanakipinga. Ukimwambia muumini wa kwa Kakobe au wa Mama Rwakatare apokee support ya serikali kupitia KKKT (Walutheri) au TEC ( Wakatoliki) atakwambia over my dead body! Sio kila Mkristo ni Mkatoliki!

Sheikh Mkuu wa BAKWATA, kwa mfano, hatakiwi kutangaza sikukuu ya Kitaifa ya kumaliza Ramadhani kwa sababu sio Waislam wote wana subscribe to BAKWATA na hana mamlaka hayo kisheria. Hapo ndio unazaa wa kina Sheikh Ponda na Sheikh Basalleh wa Msikiti wa Mtambani, Msikiti wa Idrissa... extremist clerics though they are lakini wana haki ya kusema, again, mbele ya msajili wa non-profits za Tanzania, BAKWATA haina uzito na haki za kisheria kuzidi Chama cha Waendesha Baiskeli wa Temeke!

Sasa kwa nini BAKWATA ipokee support ya serikali kwa niaba ya Waislamu wote?
Bakwata jumuiya ya chama mkuu.
Ziko tano(1)UVCC (2)UWT 3(TAPA) 4(BAKWATA) 5(JUWATA)
 
Mkuu, acheni kunung'unika na kulalamika. Jiulize kwanza mlikuwa wapi mpaka Makonda aje na 'msaada' huo? Ametokea wapi-sio kwamba nyie wenyewe mmemkaribisha?

Jukumu la kujenga taasisi ni lenu wenyewe lakini mara nyingi hamlitekelezi kikamilifu. Iko wapi MUM? Moto na ari ya prof. Njozi ni ya kuifanya MUM iishie Morogoro kweli, miaka zaid ya 15 baada ya kuanzishwa? Mbona SAUT imekuwa imeenea mpaka Mtwara? SAUT ya wakatoliki 'matajiri' tuiache, tuangalie TEKU-hawa wameenda mpaka Tabora. Mpona MUM haijapanuka kwenda Tanga, Lindi na Mtwara ambako ndo kuna wanufaika wakubwa wa MUM?
 
We mwanasheria wa wapi unauliza swali hili?
Bunge na mahakama zipo chini ya serikali?
TFF iko chini ya serikali?
Catholic Church iko chini ya serikali?
Hizo taasisi zote ziko Chini ya Serikali, ndio maana CHADEMA walilalamika kwamba Bunge linaendeshwa toka IKULU. Hillo Kanisa katoliki limesajiliwa na Serikali na Serikali hiyo hiyo inaweza kulifutia usajili wake likienda kinyume na masharti ya usajili. hivyo hivyo kwa TFF. Hiyo BAKWATA nayo imesajiliwa na Serikali kwa masharti ya Serikali. Wewe endelea kufikiri kwamba kuna taasisi huru ambapo hakuna mkono wa Serikali!
 
Wewe utadanganya wajinga tu sio mimi...
 
Serikali pia imeahidi kujenga barabara ya lami kuelekea kanisa la mzee wa upako.. Au nalo ni la ccm?
 
Back
Top Bottom