BAKWATA na Mauaji Arusha

weee mjinga huna akili hata kidogo!
 
mkuu nashukuru ukombozi wa nchi hiii utaletwa na watu kama nyinyi!
 
Watu wengine wako kama kuku ni rahisi sana kusahau!! NI viongozi wa dini gani vile walisema JK ni chaguo la Mungu?
 
Ndugu yangu unazungumza na kipofu na kiziwi, ukweli kwake ni ujinga na kuganganya ni chakula takatifu!!
 
Haya,what we need from udini will soon come to be a reality,keep going moving with udini
 


Huyu ni mwenye upupu au alieleta na wanaoshabikia hii thread?? Hebu thibitisha hayo yaliyoandikwa ndani ya hiyo habari. Au kama katika habari kuna wakati hao mashehe walinukuliwa wakizungumzia udini?
Tatizo lenu wengi ni kuwa panapo uislamu ni udini panapo Ukiristo si udini9 Inafaa mtueleze ni kitu gani). Walioanza kujihusisha na sakata hili kwa viongozi wa dini ni Wakristo mbona hamkusema kuwa ni udini? Sasa waioslamu wanaposema kuwa tujihadhari mnakurupuka na kusema ni udini?
Kwani kwenye hiyo habari uliosoma hukuona sehemu ambayo inakanusha dhana nzima ya mashehe kutumiwa?
 
nawaombeni msinitukanie dini yangu naimani sana na quran yangu naipenda naiheshimu. kwa sababu ya ya ujinga wa ccm. na nyinyi ccm acheni mara moja kujitetea kwa mgongo wa uislam. na nyinyi mashekh kama mmepewa vipesa kupoteza maana ya uislaam mtakiona siku ya hukumu.
 
Eh? unatafuta kumegwa kisela? ni-PM tuyamalize.

Mimi huwa napenda kusoma hoja zako kwa sababu zinanisaidia kujua vichaa wana mawazo gani...Ila leo nimegundua kuwa ukichaa wako ni mkubwa kuliko nilivyodhani mwanzo au labda ni bangi umezidisha.
 
hawa mashehe naona sasa wataka kupewa ukuu wa mikoa na wilaya na mkwere.kujipendekeza gani huko?! HATUZUNGUMZII WAISLAMU/WAKRISTO WALIOPOTEZA MAISHA BALI TWAZUNGUMZIA WATANZANIA WAISHIO A RUSHA WALIOPOTEZA MAISHA WAKATI WA VURUGU.Huwa najiuliza ,mbona hata siku moja sijawahi sikia wakristo wakilalama lolote kuhusu swala la udini? ilhali kila kukicha mkwere anateua waislamu? Huu udini wanauona waislamu tu?natambua mna ajenda ya siri ya ya kupitisha mahakama ya kadhi,lakini si kwa stail hiyo.SERIKALI YETU HAINA DINI ,BALI SISI WANANCHI TUNA DINI.naona ndugu zangu waislamu tz imewashinda,
Basi nawapa ushauri wa bure,HAMENI NCHI,KWANI ZIPO NCHI NYINGI TU ZINAENDESHWA KWENYE MISINGI YA SHARIA
 
Uislamu ni dini ya kinafiki sana!...................kwani oic imefikia wapi?

Sio wote mkuu ingawa nakubali viongozi wao wanatumika vibaya sana kwenye hii issue. Naamini kuna waislam hawaifurahii hii hali kwani kati ya majeruhi hospitalini kuna waislam sasa sijui hapo wanasemaje. Yaani hai-make sense kabisa kufanya this a religious issue.
 
Kusema Arusha kuna udini juu ya mgogoro uliopo ni kukosa mawazo chanya juu ya Utaifa
 
HAWA MASHEHE NI WAPUMBAVU.ina maana ISMAIL OMARY [40] Aliyefariki kipindi cha vurugu ni MKATOLIKI [mkristo]???
MTU MZIMA NA MWENYE HEKIMA AKIKOSA LA KUONGEA HUKAA KIMYA, Shame on them????/:frog::frog::frog:
 

hata mimi inanikera sana humu jf tunajumlishwa wote waislam wanafki, hatujasoma, acheni hizo sisi wenyewe tunasikitika juu ya viongozi wetu kushabikia ujinga na umaskini. unajua si kila muislam anaifuata bakwata na bakwata ndo uozo ulipo, tupiganie maisha bora watz.
 

Pengine ungeanzia na kumuonya mwandishi lakini kinyume cha hivyo uko kwenye mkumbo ule ule kuwa UIslamu ni UDINI
 
nilikua nawaza clashes kama za nigeria city of jos are far from possible in a country like ours...but it seems i might be wrong...Mtazamo wa watu fulanifulani hku unanitisha na inaonekana swala la udini limeshaingia kwenye roho zao na wanakubali kutumiwa na watu wengine kwa maslahi yao wenyewe hii hali inatisha...We need solution for this evil seed being planted slowly in peoples mind na tusipokemea mapema bearing in mind mitazamo ya watufulanifula who cant see beyond beyond their religious tutafika jos one day... Please we need to guard our thoughts and change the way we think...not everything you see and listen is correct...Plz ANALYZE things CRITICALLY na je mtazamo wako unawabenefit nini jamii yako, familia yako, and your future siblings... Jst realized that the Gas is leaking...we might as well start a spark or stop it the gas from leaking.. the choice is still ours and i know we still have time.
 
Vyereje Babu???
 
HAWA MASHEHE NI WAPUMBAVU.ina maana ISMAIL OMARY [40] Aliyefariki kipindi cha vurugu ni MKATOLIKI [mkristo]???
MTU MZIMA NA MWENYE HEKIMA AKIKOSA LA KUONGEA HUKAA KIMYA, Shame on them????/:frog::frog::frog:

Kama wewe na wenzako mna-reflect u-great thinker kwa kauli zenu basi Mungu nipe upumbavu, siwezi kuwa great thinker wa type hii.

Tatizo hapa kuna watu ambao hawajui historia na tafakari yao ni ndogo sana. Hawa kiongozi yeyote wa dini asiyeshabikia CDM basi ni mnafiki hafai na matusi mengi. Kumbuka walivyomtukana mzee wa UPAKO na MAMA Rwakatare.

Ili kiongozi wa dini aoneka mzuri ashabikie upuuzi wao wa CHADEMA.

Wengi wenu mlikuwa mstari wa mbele kulaani CUF baada ya mauaji ya pemba. Mkawaita al qaida etc. Leo Chadema wanaleta vurugu za kijinga mnaita wapigania uhuru!!
Huu ni ujinga uliopita mipaka.

Na kama hayo yanawakilisha 'mungu' wenu basi give me devil any time!!!!!!!
 
Ya Mugabe ni ya Mugabe na wala hakuna uhusiano na hili la Tanzania. Ungepaswa kujiuliza wakati kiongozi wa dini anaposema waliouwawa Pemba wanastahili lawama kwa kuvunja Sheria ulikuwa hujazaliwa hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…