Ivi kweeli tofauti ya hijab na mtandio ni nini? Okay hata kama kuna tofauti ivi ukimkamata mto mwenye makosa na akiwa amevaa hijabu, kanzu, bagalashia, au kola ya kiaskofu ndo umwache.?
Mi nazan tufike mahali tujue hakuna mtu aliye juu ya sheria ktk nchi hii. Kama wabunge haswa wa upinzani wanavyonyanyaswa mara kwa mara bila kujali hadhi yao ya ubunge( uwakilishi wa wananchi) iweje leo mteule tu wa rais anakamatwa kwa kuhusika ktk kuvuruga uchaguzi anatetewa kwa kisingizio cha mavazi ya kidini.
Tunakoelekea itafika mahali hata jambazi akikamatwa kavaa tasbihi au rozari basi watu mtataka kuandamana
hiyo roho ya udini na ishindwe ktk nchi hii. Na hao watu wanao ikuza na walegee kabisa.amen
Mimi nilisema jamani chama hichi ni hatari kwa uislam, wakipewa nchi hawa marufuku kuvaa hijabu, marufuku vipaza sauti misikitini, waislamu fungueni macho.
kuna kazi kubwa sana ya kuuelimisha huu UMMA wa kizazi cha mtoto wa kijakazi.
A very sensible and timely caution lakini ni watu wachache sana watakaoisoma hii contribution yako kwa umakini unaohitajika. Watu hapa wamejikita katika jazba na chuki zao dhidi ya chama hiki au kile, imani hii au ile. Lakini wahenga husema, samaki ndani ya maji hajui umuhimu wa maji. Wimbi la ukombozi likimtoa ufukweni na kumrejesha baharini ndipo anapotambua kwamba uhai wake bila maji si chochote. Lakini humu ndani hii thread yako itaishia kubezwa na kutukanwa, na utakuwa na bahati kama hutaambiwa kwamba hujasoma, mnywa kahawa, mvaa msuli, mtu wa madrasa n.k. Tena wengine wanaosema hivyo elimu zao ni duni kuliko wale wanaowakosoa. Pathetic!
Mimi nilisema jamani chama hichi ni hatari kwa uislam, wakipewa nchi hawa marufuku kuvaa hijabu, marufuku vipaza sauti misikitini, waislamu fungueni macho.
<br />Masuala ya kisiasa tuyaache yatatuliwe kisiasa na maswala ya kidini yaachwe yamalizwe kidini.Masuala ya kuunganisha masuala ya siasa na dini mtazidi kutuharibia nchi.Hata mahakama ya kadhi mnataka kuifanya issue ya kisiasa wakati ni issue ya kiibada zaidi(waislamu na mambo yao).Hizo ni dalili za kufirisika kifkra!hakuna lolote na mtazikwa hivohivo na lawama zenu baada ya kujilipua mabomu hali makundi mengine ya dini yanazidi kusonga mbele na kustawi na kuwaletea waumini wao na watanzania kwa ujumla maendeleo ya kimwili na kiroho
kwa kuwa ni muislamu aachwe afanye uhalifu, hawa masheikh watuambie ni lini uislamu umeanza kuruhusu mipango ya wizi wa kura.
Hao mashehe wenyewe ni wizi lakini ukweli ni kuwa CDM inachukia Uislamukwa kuwa ni muislamu aachwe afanye uhalifu, hawa masheikh watuambie ni lini uislamu umeanza kuruhusu mipango ya wizi wa kura.
<br />Huu ni uzalilishaji usiovumilika!<br />
Chadema hawana heshima kabisa
Achana na Copy and paste wote tunajua, tuambie jibu fupi, Kiongozi wa Pagan hapa Tanzania ni nani na Ibada zao wanafanyia wapi ni hayo tuPathetic!
Baada ya wewe kusema maneno haya yaliyo jaa busara na hekima basi mie sitasema lolote bali nitasoma wengine wanasemaje .I wish tungalikuwa waislam wengi kama wewe wenye kuona ukweli .
tusitishane kwa ujingaMkuu hatetewi mama ila suala la kumvua hijab/mtandio ambao unaambatana na imani ya dini yake ndilo suala hapa. Hao masheikh hawajaingilia siasa wamesema kuhusu vazi. Mambo haya huanza taratibu na kisha huwa makubwa na mara nyingine hupigwa fwatwa. Kumbukeni yaliyompata Mrema.
mkuu hujamboAchana na Copy and paste wote tunajua, tuambie jibu fupi, Kiongozi wa Pagan hapa Tanzania ni nani na Ibada zao wanafanyia wapi ni hayo tu
Achana na Copy and paste wote tunajua, tuambie jibu fupi, Kiongozi wa Pagan hapa Tanzania ni nani na Ibada zao wanafanyia wapi ni hayo tu