Hata njia ukiitumia sana inaliwa na matairi kwa sababu ya breki, mvua, upepo, jua n.k...
Mhhh. Jamani!!!
Hata njia ukiitumia sana inaliwa na matairi kwa sababu ya breki, mvua, upepo, jua n.k...
Ewalaaa angalau wew umeniweka barabarani, mim hilo tangazo sikulielewa naona limekaa kimafumbo zaidi
Sasa kama simu ina line mbili na zote ziko active??
........................ Najitahidi kwa nguvu kweli kuielewa hii post, akili inakataa kuwa nakosea! Haya ilmradi umebaki njia kuu Babu si ndio? lol
umemwelewa sana, acha kuzuga.
Airtel kwenye sim moja na sio kubadilisha badilisha sim mara atake HTC 1
mara Samsung Galaxy mara Nokia ya tochi anhaa sio hivyo..........
............nakubali kuwa haujitoshelezi kwa kuwa wengine pia huko njia kuu magari yao hayaruhusiwi kupita kwa kuwa pengine yana hitilafu so wanaogopa trafiki. Wengine wana miaka hawaruhusiwi hata kuegesha magari njia kuu............... Bado mwaambiwa mbaki njia kuu.........................
Kama wewe ndo mpango wake wa kando, unaweza ukamshauri hilo mwanaume wako...
Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
Route ndefu ni kwa safari salama
Mpwa....ukiwa na vitz usipite short cut.
Lakinibukiwa na Mnyama......alaaaaa...hatari sana shehe!!
Nikiwa na Vitz nibaki njia kuu..
Hata nikiwa na 4WD OFF ROAD??!
Kuna gari zinapendeza ukipasua short cut hasa hii ambayo ni rough road.
:thumbup:
Mpwa....ukiwa na vitz usipite short cut.
Lakinibukiwa na Mnyama......alaaaaa...hatari sana shehe!!
Dah mim nilikuwa najua ni maswala ya madereva waache kupita pembeni wanapokuta kuna foleni barabara kuu..
Dah mim nilikuwa najua ni maswala ya madereva waache kupita pembeni wanapokuta kuna foleni barabara kuu..