Ujumbe wa 2014 jamani. Bado tunawapenda sana na kuwategemea katika ujenzi wa familia zenu na taifa letu kwa ujumla.
Heaven on Earth saidia jibu hapa..
Endelea kutumia eatel..yatosha
Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?
Hata kama wataka kumkwepa trafic mnoko jamani....
Hivi unaweza mtoa kambare kwenye tope ukamleta maji chumvi ataishi kweli?
Hivi unaweza mtoa kambare kwenye tope ukamleta maji chumvi ataishi kweli?
TAngazo hili linawahusu wenye NJIA KUU. Wao ndio kiini cha mabadiliko.Kama wewe ndo mpango wake wa kando, unaweza ukamshauri hilo mwanaume wako...
Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu.
Hata njia ukiitumia sana inaliwa na matairi kwa sababu ya breki, mvua, upepo, jua n.k...hahahaa we endelea Kubaki njia kuu tu
Wakati wa ukame huwa wanasurvive vipi?
Say no to MPANGO WA KANDO
Si ndo hapo mpwa. Hawa wanataka kutumalizia kambale wetu.
Hata njia ukiitumia sana inaliwa na matairi kwa sababu ya breki, mvua, upepo, jua n.k...
Tope mhimu kwa uhai wa kambare.
Ujumbe umetulia.