Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Baki njia kuu, epuka Michepuko!

ujumbe mzuri kweli huu kwa wanaouelewa!!!!!

attachment.php
 
Attachments

  • tapatalk_1391624149790.jpeg
    tapatalk_1391624149790.jpeg
    56 KB · Views: 352
hekimatelembonaa umepotea sana jamani

mie niko home leo sijatoka kabisaaaaaa

mambo ya kanisa yalinikamata bhana.
Mwanzo wa mwaka siye twaanzaga na Bwana.
Kwa hiyo leo uko kitaa gani sasa jamani?
Nimekumiss yani nilitaka walau kwa lunch nikuone tuleeee weeeee mpaka kuku waone wivu
Njoo basi Posta bhana hata kama huna ishu we njoo tu
 
hahaa halafu wewe kijana usinitamanishe kutoka lol
wakati leo nilipanga nisitoke kabisaaa na hiki kimvua hiki........
kitaani kwangu si unakupata njoo wewe mie utanikuta
 
hahaa halafu wewe kijana usinitamanishe kutoka lol
wakati leo nilipanga nisitoke kabisaaa na hiki kimvua hiki........
kitaani kwangu si unakupata njoo wewe mie utanikuta

mi nadhani we leo huna hamu na lunch.
Basi bhana we endelea kukaa ndani na mvua
 
Ila hata madereva (hasa wa dar) inatuhusu......
foleni nyingi zinasababishwa na michepuko......... ni kama tu misongamano inavyosababushwa na michepuko

magari magari au magari gani dada FP... nilitaka kuchepuka nikaona huu ujumbe ikabidi nibaki tu njia kuu
 
Aisee wamebuni vizuri namna ya kufikisha ujumbe . Asante MwanajamiiOne kwa kusaidia kuliweka humu na wengine tumeweza kuelewa kwa kupitia michango ya wadau wa MMU.
 
Last edited by a moderator:
Njia ya kichochoro ndo yenyewe hata ki Hiace unajihisi kama waendesha UDA

Rgds
 
Acha kusevu majina ya mahawaraka kama mafundi ndani ya simu yako!!! Ninafurahi pia kuwa Kibonde ametumika katika tangazo hili!!!! Anasisitiza usichepuke, baki njia kuu!!! Hujafa hujaumbiko, Majuto ni mjukuu, bora ukubali yaishe!!! Kukubali hali na kujikubali, utaishi kwa afya njema hata kama nywele zitakuwa zimeshaanza kupukutika na tukaokolewa na madaktari wale kwa kutumia fursa za kazi zetu uliwananga wakati wa mgomo!!! Omba msamaha live.
 
Back
Top Bottom