Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Nishaamua sasa kesho ndio kesho asemae keshokutwa ni muongo.
Lunch hour kitaa cha posta. Karibu
Khe khe leo lazima nikuje aisee
Nishaamua sasa kesho ndio kesho asemae keshokutwa ni muongo.
Lunch hour kitaa cha posta. Karibu
Acha kusevu majina ya mahawaraka kama mafundi ndani ya simu yako!!! Ninafurahi pia kuwa Kibonde ametumika katika tangazo hili!!!! Anasisitiza usichepuke, baki njia kuu!!! Hujafa hujaumbiko, Majuto ni mjukuu, bora ukubali yaishe!!! Kukubali hali na kujikubali, utaishi kwa afya njema hata kama nywele zitakuwa zimeshaanza kupukutika na tukaokolewa na madaktari wale kwa kutumia fursa za kazi zetu uliwananga wakati wa mgomo!!! Omba msamaha live.
khe Kibonde huyo........hahahaaaaaaaaa
Khe khe leo lazima nikuje aisee
Uko wapi sasa mda wa lunch ndo huuoooo umekaribia.
Njoo basi twende kula vinono mai ofa.
halafu wewe..........una kesi na mimi
We nimegundua huna hamu kabisa na mialiko yangu. Kila siku mi ndo niwe najipendekeza kukualika halafu hautokei
Unadhani kila mtu tapeli. Basi haya.
kwani unakuwaga serious
Acha kusevu majina ya mahawaraka kama mafundi ndani ya simu yako!!! Ninafurahi pia kuwa Kibonde ametumika katika tangazo hili!!!! Anasisitiza usichepuke, baki njia kuu!!! Hujafa hujaumbiko, Majuto ni
mjukuu, bora ukubali yaishe!!! Kukubali hali na kujikubali, utaishi kwa afya njema hata kama
nywele zitakuwa zimeshaanza kupukutika na tukaokolewa na madaktari wale kwa kutumia fursa za kazi zetu uliwananga wakati wa mgomo!!! Omba msamaha live.