Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Nilikuwa nawaza hvyo ila hii thread inaelezea ule ujumbe ni maswala ya ukimwi....na wala siyo swala la watu kutanua na magari yao pembeni..

hamna ni barabara huko kuchepuka utakutana na mifereji ina matope utanasa baki njia kuu unateleza tu
 
kwetu hakuna njia njia kuu ....vichochoro kibao!
 
Ila hata madereva (hasa wa dar) inatuhusu......
foleni nyingi zinasababishwa na michepuko......... ni kama tu misongamano inavyosababushwa na michepuko
 
Hivi wingi wa njia kuu ni nini maana kuna wengine magari yao yana njia kuu zaidi ya moja. Bakini njia kuu zenu wapendwa yaani mubaki kwa High Way!
 
Oral Sex (kwenda chumvini & Kulamba Koni) kunakuweka katika hatari ya kupata Kansa ya Koo, eg. Oesophagus Carcinoma or Squamous Cell Carcinoma.

Hii hutokea pale utakapopata kirusi kinachoitwa HPV( Human Papillomavirus)ambao wako aina zaidi ya 100. Aina chache ya virusi hivyo husababisha Cancer.

Usijione fundi wa Oral Sex wakati unahatarisha maisha yako. Punguza chain ya mahusiano. Baki njia kuu. Michepuko sio dili.
 
Ujumbe wako ni tuache kucheza mechi za kirafiki a.k.a kazi za nje
au tuache kuramba koni?
 
Khaa! Kumbe wale wanaokula koni na kunyonya mbunye yale mate ya uchumvi uchumvi huyameza?
Au hata usipomeza unaweza kupata hiyo kensa?
 
Back
Top Bottom