MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
- Thread starter
- #121
Dah............ watuongezee na maelezo ya ziada pembeni sio?
Yupo meli ya mgiriki huyo
Eh............... makubwa! Unataka kusema wewe kila siku lazima utumie njia kuu?
Hiyo itakuwa sehemu ya intavyuu ya kwanza....
umemwelewa sana, acha kuzuga.
............Nakubali kuwa haujitoshelezi kwa kuwa wengine pia huko njia kuu magari yao hayaruhusiwi kupita kwa kuwa pengine yana hitilafu so wanaogopa trafiki. Wengine wana miaka hawaruhusiwi hata kuegesha magari njia kuu............... bado mwaambiwa mbaki njia kuu.........................
Ukiona njia kuu speed kali mno ajali inaweza tokea unaruhusiwa kupaki njia ndogo.
Ndio mpango mzima, route ndefu za nini?
sijaelewa nieleweshe
Ha ha ha...eti shotcut zikifungwa si kutakuwa na jam sana barabara kuu?....
Ha ha ha...eti shotcut zikifungwa si kutakuwa na jam sana barabara kuu?....
Eti kubaki njia moja na kufanya shortcut kipi bora?
Mwanamke ndiye mwamuzi wa mwisho akubali au akatae.
sijaelewa nieleweshe
Umeona eh. wagirik wanatuharibia ndugu zetu.
Route ndefu ni kwa safari salama
na mwanaume je
Hahahah si ndo apo chacha. uchochoro ndo mpango mzima. Hufupisha safari.
Ukikutana na foleni halafu haisogei utafanyaje?