Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiaji
Uwe unachepuka mkuu
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiaji
Eh............... makubwa! Unataka kusema wewe kila siku lazima utumie njia kuu?Hapo mbona rahisi tuu... Si unatafuta vichochoro viwili vinavyopishana tarehe...
Duh tatizo situmii kabang za wanachama wa Elton John.
Hand set moja na sim card moja...
Ukibadili handset usibadili line......
Hand set moja na sim card moja...
Ukibadili handset usibadili line......
4x4 full time four wheel drive inahusika mnoooo.Uchochoroni wakati wa masika ndio hakupitiki kabisaaaaaaaa
Uwe unachepuka mkuu
Ila sasa toka nimeanza kusikiliza haya matangazo ya redioni ya Baki njia kuu mbona ni matuko ya kunaswa wanawake tu?, wao ndio wanaotumia vichochoro zaidi au?
na kwanini ubadili Handset wakati iliyonayo inajitosheleza kila kitu
halafu sijui ka nimekuelewa vizuri
Ndio mpango mzima, route ndefu za nini?
Hiyo itakuwa sehemu ya intavyuu ya kwanza....utajuaje kama vinapishana tarehe!!!!!!!!!!
ruttashobolwa hii imetokana na kuwa watu hawana hofu ya mungu huku wengine wakiamini hakuna mungu.
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiaji
Duh tatizo situmii kabang za wanachama wa Elton John.
Una akili sana we mtu. Shortcut ndo mpango mzima. Chapchap sana unafika home.
alaf kibaya zaidi lengo la huu ujumbe halijafanikiwa kabisa maana ni watu wachache wana uelewa labda mpaka walione tangazo!
Kwa sababu watu hawana hofu na fikiri njia rahisi ni kuwambia waende salama sababu kuwambia wabaki njia kuu ni ngumu sana.
Campaign ya kuhakisha watu wana baki na mtu mmoja hilisha shindikana.
Campaign iliyo pata mafanikio ni ya kuwashauri watu kutembea sala hata kama wanatoka njia kuu!
Hii sentensi tata,nimepata maana zaidi ya mbili sielewi maana kamili ni ipi,nisaidieni tafadhali.