Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Baki njia kuu, epuka Michepuko!

Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu.


Daaaaaaaaaahhh,

Kumbe kustaafu ni raha sana....eeeehh??
 
Uchochoro unasaidia kufupisha safari. njia nyingine ndefu sana, unazunguka mpk unachoka. Mafuta hayachelewi kuishia njiani.

Hah tatizo wewe una akili sana nawezajitia kukujibu kumbe nikateleza. Ngoja niishie tu kukutizama lakini kumbuka Baki njia kuu, kuchepuka sio dili
 
Ewaa. Uzuri wa 0713 unaweka kabaang afu unatwanga mitandao yote. Kama vipi unatumia mini kabaang.

yap! Basi fanya fasta pale Hilton guest house chumba namba10 umenitamanisha kweli.
 
Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
 
Back
Top Bottom