Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?
vp unapenda kutumia 0713? Sijui nakufananisha na.............:
Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?
Hivi unaweza mtoa kambare kwenye tope ukamleta maji chumvi ataishi kweli?
Hata njia ukiitumia sana inaliwa na matairi kwa sababu ya breki, mvua, upepo, jua n.k...
vp unapenda kutumia 0713? Sijui nakufananisha na.............:
Ewaaa, tope na liheshimiwe na kambale wote.
ukitumia njia kuu kila siku vichochoro itakuwaje? Sio kila mtu ana gari,..
kwa nini asiishi!!!!!!!!!!!
kila kitu kinawezekana chini ya JUA
vp unapenda kutumia 0713? Sijui nakufananisha na.............:
hata hiyo utakayoanza kuitumia sa hivi si itakuwa hivo hivo
utazunguka njia ngapi sasa
na wenyewe muda ukifika watamiliki hayo magari tu
Ewaa. Uzuri wa 0713 unaweka kabaang afu unatwanga mitandao yote. Kama vipi unatumia mini kabaang.
hawezi kuishi katu
Min Kabang haiongopi mpwa twanga kotekote.
tatizo magari ni mengi kuliko wanunuzi. Vichochoro muhimu kwa short cut.
kwa nini asiweze kuishi