Kama vile unanijua yani 😂Sasa mkuu, camera ya nini ilihali huna jina wala pesa?
Hiyo ni moja ya watu wanaoamini kuwa "USALAMA WA TAIFA" ndio Miungu watu ndani ya nchi yoyote ile. Movies za Marekani zimewaharibu sana wadogo zetu hawa.Umeongea pumba
Anakudanganga huyo. Utajiri wa watu wa Asia hapa Tanzania ulianza tangia enzi za Muingereza hata kabla ya Uhuru huu wa mchongo.Umenifungua sana akili
Alionekana wafanyakazi wake Azam media walipofariki kwenye ajali na alipokuwa anakabidhiwa eneo la kilimo cha miwa Bagamoyo, wengi kabla ya hapo tulikuwa hatumfahamuMh! mbona mara kadhaa ameshaonekana na anafahamika sasahivi vizuri tu!, katika kipindi alichokuwa anaonekana sana ni kipindi cha magufuli sasahivi mh! si sana..
wakati wa uzinduzi wa hotel yake verde kule Zanzibar akiwa na magufuli, pia kuna kipindi alihojiwa azam tv.