Bakhresa tajiri asiyependa camera

Bakhresa tajiri asiyependa camera

2023 samia alikwenda azam kuzindua minara ya DDT ila mwamba hata hakuwepo 😂
 
Matajiri Founders wako hivyo, watoto ndo huwa wanapenda mapichapicha na wanakuwa maarufu - sema kwa weusi hata founders wako front sana.

1.Mo Dewji utajiri wa wazee - ndo maana yuko front sana
2.GSM huyu wa Yanga na ndugu zake - mara mabunduki etc
3.ASAS founder yupo bado mmoja:Wako kimya, watoto ndo wameanza mara sijui mwingine CCM etc
4.Bakhresa Founder: Kimya, watoto ndo wanakinukisha insta huko
5.Mengi - mweusi mwenzetu huyu:Full Maujiko etc.
6.Wakina Mbowe hawa mpaka Nyumba zao za Moshi ziko mitandaoni
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Aisee...
Ungekula kwenzi unyamaze kama ungekuwa karibu yangu....
 
Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni

Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya
Ila naye ni timu sifiasifia
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Acha stori za vijiweni kwenye kashata na kahawa huku mkisukuma drafti au bao, leta ushahidi.
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
We unaongea vitu ambavo havipo Nigeria ndio nchi pekee afrika ambapo wazawa wameshika uchumi. Dar es salama ni ya waarabu na wahindi. Wanaochukua Tender kubwa serikalini ni hao Kuanzia Estim mpaka Simple computers. Kusema wazawa wanamiliki kampuni kubwa ni uongo labda kuiba kwa kupewa tenda ndogo ambazo jhata wasipofanya kazi hawatashatakiwa kama Lugumi.
 
Umeongea pumba
Tatizo la sisi wabongo ni wagumu sana kusoma code yaani ni kama mazezeta fulani hivi!!

Unakumbuka kipindi Cha msiba was Mzee ruksa Mama alimshauri Dr. Husein kusaidia kumaliza migogoro ndani ya familia!!?ni baada ya kigogo kufichua kwamba Kuna toto.la ruksa lilichukua mikataba yote ya Bakhresa group na kuzua tafrani kwenye familia hizo tatu za marehem mzee!?

Na huonmsiba ndio wengi walimuona Mzee bakhresa kahudhuria coz Huwa haonekani kizembe zembe vile!!

Sasa ndipo nilipojua kuwa Bakhresa group mtaji mkubwa ni wa mzee hayati ruksa na sio hao !!wait no waajiriwa TU na wawakilishi kupitia majina yao fake ya kibiashara!!

Ishu ya Rama was kariakoo ,pia ilinifumbua macho kwamba waweza kuwa tajiri kama mzawa lakini SI beyond mstari uliochorewa na wenye mamlaka!!

Naendelea kuwaza,mi mwenzenu huwa nawaza TU na kuandika niwazavyo japo sio lazima ukubaliane na mawazo yangu Mimi!!!
Tafakari Kwa sana!
 
Kwahiyo Harmonize siyo Bakhresa? Kwamba anavyojiita Bakhresa hilo siyo jina lake? So kuna mtu anaitwa Bakhresa?
 
We unaongea vitu ambavo havipo Nigeria ndio nchi pekee afrika ambapo wazawa wameshika uchumi. Dar es salama ni ya waarabu na wahindi. Wanaochukua Tender kubwa serikalini ni hao Kuanzia Estim mpaka Simple computers. Kusema wazawa wanamiliki kampuni kubwa ni uongo labda kuiba kwa kupewa tenda ndogo ambazo jhata wasipofanya kazi hawatashatakiwa kama Lugumi.
Wazawa unawajua ninaowazungumzia!!?unafikiri ni hai machinga !?nimesema wakubwa!elewa neno wakubwa!!Ina maana hujaelewa wakubwa!!?

Yaani code ya wakubwa na wewe huijui!!?

We jamaa!!

Hizo kampuni zinazopewa tenda unajua ni za nani!!? Hakuna mkubwa anaetaka kuandika ye anamiliki biashara fulani!elewa neno wakubwa!!!

WAKUBWA NENO WAKUBWA!
 
Bakhresa group!!Brand ya kibiashara inayoficha mmiliki mkuu!!nyie hamwelewi Nini nyie!!?

Kwani hayo mabasi ya waarabu ni yao!?SI wao wanapewa waendeshe TU biashara halafu wanajua wanapata nini!!?hizo kampuni za usafirishaji unajua mitaji ni yao pekee!!?

We jamaa!!
Kwahiyo Harmonize siyo Bakhresa? Kwamba anavyojiita Bakhresa hilo siyo jina lake? So kuna mtu anaitwa Bakhresa?
P
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Unachekesha ! Kama akili yako ndio inaamini nchinndio inatengeneza matajiri. Huu ujinga utasumbua watu waliowajinga kama wewe. Eti Elon alitaka kufirisika akataka aende South .. Watu wanapambana na kuna njia wanazopitia hadi wanatoboa. Bakhresa hajapewa utajiri na serikali bali Family background na Committment zimemfikisha hapo. Serikali unatengeneza matajiri kwa serikali za huko kwenu ila Serikali duniani kote inafanya kazi na matajiri. Na hata matajiri pia hutafuta kufanya kazi na serikali na sio kwamba serikali ndio zinatengeneza matajiri
 
Kwahiyo Harmonize siyo Bakhresa? Kwamba anavyojiita Bakhresa hilo siyo jina lake? So kuna mtu anaitwa Bakhresa?

Unachekesha ! Kama akili yako ndio inaamini nchinndio inatengeneza matajiri. Huu ujinga utasumbua watu waliowajinga kama wewe. Eti Elon alitaka kufirisika akataka aende South .. Watu wanapambana na kuna njia wanazopitia hadi wanatoboa. Bakhresa hajapewa utajiri na serikali bali Family background na Committment zimemfikisha hapo. Serikali unatengeneza matajiri kwa serikali za huko kwenu ila Serikali duniani kote inafanya kazi na matajiri. Na hata matajiri pia hutafuta kufanya kazi na serikali na sio kwamba serikali ndio zinatengeneza matajiri
Asante Kwa kunielewa mkuu!!
 
Back
Top Bottom