Bakhresa tajiri asiyependa camera

Bakhresa tajiri asiyependa camera

Kuandika tu hiyo content kumhusu yeye hiyo ni kazi kwa dunia ya Sasa..okota mkuu
Nimeandika kama funzo kwetu sote kuwa matendo mema yanaongea na kuonekana kuliko maneno na sura zetu
 
Matajiri kama Cheaf Godlove ndio wapo kwa Internet kila siku
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Mhh! Hizi ni porojo tena zilizojaa husda. Duh! We ni wale wanaoshinda kijiweni na kujifanya unajua kila kitu. Uzi wa hovyo
 
Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana

Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa

Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni

Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya

Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv

Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake

Binafsi nafurahia maisha yake

Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa

Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa
Binafsi siifahamu hata sura yake ila kwa picha namuona ni tajiri humble sana na mwenye mafanikio halisi. Mzee Mengi nilimuona ni tajiri aliyebarikiwa na alikuwa halisi, humble pia sidhani kama alikuwa na show off.
 
Mengi alikuwa good sema alikuwa ni mtu wa kujionyesha sana akisaidia
 
Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana

Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa

Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni

Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya

Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv

Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake

Binafsi nafurahia maisha yake

Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa

Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa
Hiyo sasa si style ya mtu ya kuishi mkuu. Haihusiani na hela. Kuwa waz haitgemei ulizonazo ila mapenz yako kwenye huo uwaz. Kuna watu hawana buku na hawapend pia kuonekana. Kutaka tajir asijionyeshe haimaanishi ni mnyenyekevu ila ni life style. Sisi ndio washamba wa kufuatilia life la watu
 
Hoja nzuri mno Mkuu
 
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?

Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!

Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!

Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!

Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?

Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!

Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Umeongea Kwa ukali Sana .ebu agiza 🍺🍺 nitalipa
 
Back
Top Bottom