ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,778
- 36,002
Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana
Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa
Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni
Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya
Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv
Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake
Binafsi nafurahia maisha yake
Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa
Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa