Bakhresa Group washusha Meli mpya

Bakhresa Group washusha Meli mpya

Wewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
Bila shaka utakuwa muajiliwa hapo wewe mama,nakiona tu povu linavyo kutoka,ngalawa sina ila Nina zaidi ya hiyo ngalawa tena utanifaa sana ukija nikuajiri
 
Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Utajiri Wa Yale madude una masharti yake ukikosea unadanja au unakuwa masikini ghafla... Ni hatari sana yaani mali zako zote unajikuta umeziwekeza kwenye kamari ukaliwa zote hapo unachanganyikiwa unakuwa kichaa au kifo or unajikuta umefanya kosa kubwa ukafungwa su ukataifishwa n.k ni utajiri wa mateso bila chuki...
 
Huyu mzee namkubali sana. Ni wakati sasa serikali imshawishi ( impe incentives), awekeze ziwa nyasa ama tanganyika kufungua fursa za kibiashara na nchi za maziwa makuu
 
Anastahili pongezi maana anarahisisha usafiri tukumbuke tuna ndugu jamaa marafiki Zanzibar...na fursa za biashara/ajira zinaongezeka pia pongezi kwake
 
Back
Top Bottom