Wewe ni mpumbavu, sikutegemea kwa jinsi nilivyokujibu kistaarab ungenijibu utumbo namna hii.Kwa mtoto wakike hata kidogo,ingekuwa unakojoa imesimama sawa,au ingekuwa kila mwezi huvuji ungenibamba ila kama unavuja ,sahau hilo kabisa.
Mtoto wa kiume kumwambia msichana maneno haya ni usho**Kwa mtoto wakike hata kidogo,ingekuwa unakojoa imesimama sawa,au ingekuwa kila mwezi huvuji ungenibamba ila kama unavuja ,sahau hilo kabisa.
Mtoto wa kiume kumwambia mwanaume mwenzie hivyo pia ni usho.....Mtoto wa kiume kumwambia msichana maneno haya ni usho**
Pigo kivip chadema wenyewe saiv wapo kimya, halafu kwenye ishu za maendeleo ya watu msiweke siasa, au unafikiri yeye ni ccmhakika hili ni pigo kwa chadema..
Bonge la dude hongera zao
Mtu mmoja hawezi kuinua uchumi wa nchi wewe, acha mawazo ya kivivu wewe.kwanini mh magufuli asiongee nae huyu mzee? atamsaidia sana kuinua uchumi wetu.
Ndo hapo hata mimi nashangaa, sijui mo ana vitu gani vya ajabu kumshinda huyu jamaa. Na mwaka juzi hapa alikopa zaidi ya billion 300Halafu tunaambiwa na forbe eti Mo dewje anamzidi Azam kwa mkwanja
Wewe Kiumbe wa aje aisee!! Hivi aliyekwambia kua dini ya mtu inapimwa kwa kuangalia jina lake ni nani?!Hata Observation inatosha.
Nikienda hapo ni dk 2 tu nakuja na PAYROLL ya majina.
Ongea Point ww!!Wewe Kiumbe wa aje aisee!! Hivi aliyekwambia kua dini ya mtu inapimwa kwa kuangalia jina lake ni nani?!
Nimekushauri huko kwenye comment zangu za juu kua anzisha na wewe miradi yako ili uajiri uwapendao,
Naona ukabila/ubaguzi unakutafuna kwa kasi sana,ukimaliza udini utahamia kwenye ukabila, utahoji tena, mbona Bakhresa anaajiri Wachaga tuu? Wasukuma,Waha,Wazaramo n.k
Ukitoka hapo utaanza kuhoji tena,mbona Bakhresa anaajiri wapenzi wa team ya Azam tuu? Au Yanga tuu? Simba,Arsenal n.k
Acha fikra za kibaguzi mkuu utajiona hata na maisha yako yataanza kubadilika na utaanza kuona mafanikio,
One love.
Amen ndugu, Mungu akubariki piaIf ur still alive u can be a King
Safi sana Mkuu,nikuombee kwa Mwenyezi Mungu akuongoze na utimize ndoto zako,
One love.
We vepe unaongea kama tahahira! Au na wewe ni mmoja Wa wake zake Wa jinsia yake pale Livingstone!Hebu fafanua uharo wako wewe kenge,karne ya 21 unaongelea ushirikina?,hebu jichunguze pale katikati mapumbuuzz yako yanapokaa,utaona chupi imetoboka na pumbuuzz zako zimevuja mpaka mkunduniiizzz au vipi? ,na ukikaaa tu unayakalia mapumbuuzz yako yanapasuka kama mayai viza.
Bila shaka we ni mkatolikiHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Jibu, swali acha porojo!Bila shaka we ni mkatoliki
Leta ww hizo pipa tukuone na ww mkali.Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Hamna mtu anaweza kuwa na pesa kuliko serikaliWe bata maji kweli sasa uchumi wa bakhresa utaulinganisha na wa kwako au wa serikali, kwanza serikali yenyewe haina hela kama za bakhresa saivi
Hapa ndiyo ilipo changamoto ya Mtanzania,watu wanazungumzia meli iliyoshushwa na Kampuni ya Bakhressa,wewe unazungumzia idadi ya Waislamu kwenye Kampuni yake,tujifunze kudeal na issues watanzania wenzangu na siyo watu,haitatusaidia zaidi ya kutubomoa!Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Kwani watu wakifanya biashara za kufanana wanakuwa maadui? Mnajipendekeza sana mbona hateui mawaziri au wakuu Wa wilaya huyo.. Zaidi atawashikeni masabur! Tu
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.