py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
Hapa natizama game ya simba vs yangaHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Na watangazaji 4 wakristo nawaona
Muislamu mmoja
Hapa natizama game ya simba vs yangaHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Huyu mzee mbinafsi sana atuwekee ya kivukoni bagamoyo basi ile mv dar wanajua wenye mji walichotufanyia aache kauchoyo bwana vitu vizuri kula na nduguyo![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Wewe mbona unatukumbushia deciHivi Mv Dar es salaam ipo?
Nadhani kwa sababu nae ni muislam...Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Huo ni utaalamu. Huoni picha zilivyo clear?Hapa natizama game ya simba vs yanga
Na watangazaji 4 wakristo nawaona
Muislamu mmoja
Hizi akili za mwendo kasi hizi kaazi kweli kweliChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Huenda.Nadhani kwa sababu nae ni muislam...
Dah! Chief engineer.....Mwana mbona unaandika maneno unakosea kosea hivo... Utadhani una ukoma kwenye vidole rafiki????
ACHA UBOYA WEWE... Pumbavv kabisa
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Hahaha,Hapa natizama game ya simba vs yanga
Na watangazaji 4 wakristo nawaona
Muislamu mmoja
Wivu ni kidonda,umeshiriki,ugua pole!Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Ndo hawa wasomi wetu.Mwana mbona unaandika maneno unakosea kosea hivo... Utadhani una ukoma kwenye vidole rafiki????
ACHA UBOYA WEWE... Pumbavv kabisa
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
hongera kwa mzee bakhresa,![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Basi nimekufananisha ni secondary school na sio chuo.Morogoro labda chuo shule zote nimesomea kanda ya ziwa.
Pipa hasara tuUwezo was kuweka pipa anao, huyo jamaa miradi take hakurupuki. Anafanya utafiti na upembuzi wa kina kabla ya kuanzisha mradi.