Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristo
 
Kama madai hayo ni kweli wakristo wote wasinunue bidhaa za azam
Tena waanze kesho asububi ili awape ajira wanaona ndio wenye haki ya mupata ajira nchi hii kuazia serikalini mpaka kwenye kampuni binafsi.
 
Tujikumbushe parts of speech Islamic is adjective , Islam, Muslim are nouns. Mind your language. Pili Muislamu anamwabudu Allah siyo Islamic. Muslim confess and adore an infinite and eternal being, without form or place, without issue or similitude, present to our most secret thoughts, existing by the necessity of his own nature, and deriving from himself all moral and intellectual perfection.
 
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristo

wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
 
Kwanzia kesho nasusia bidhaa zake. Kasoro king'amuzi tu. Sipendi ujinga mimi
Ati mnasusia kwi kwi kwi Bakhressa ni maji usipoyanywa utaoga, utafulia nguo, utamwagia bustani utapikia mtasafishia hivyo vimkokoteni vyenu, hivi kwa siku unamgusa Bakhressa mara ngapi tena kwa kujua au kutokujua mnastarehesha baraza tu, angesema wa Kijiji labla ningemuelewa kidogo
 
Mkuu trust me naweza kuishi bila huyo mungu wenu
 
Kwa waafrika walivyowezi acha aajiri waislam maana ni waadilifu hata Dangote ni tajiri afrika sababu ya uislamu wake.JPM leo kasifia bakhresa kwenye uaminifu wa sukari ya viwandani
 
hahaha kuwa na mzuzu n sifa ya ziada,ama kweli hawa wavaa ndala wanatisha
 
Nimepata kufanya kazi na Kampuni moja ya Azam nilipata ushirikiano mzuri sana hadi Nikapata demu wa Kiislamu.

Sikuwahi kubaguliwa kisa Dini yangu na pale kuna Wakristo wa kutosha
 
Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.

Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushoto
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…