Mtasubiri sana kwa kuoena kazi za vibarua. Inahitaji akili...Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.
Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
Umesema Azam media pale wameshindwa kuwajaza akina Bakari kutokana na wachache kuwa wajuzi wa mambo ya utangazaji au uandishi wa habari,tasnia hiyo inahitaji usomi na kujua lugha lakini kwenye udereva au kutengeneza biskuti au kukata tiketi na kuwa konda wa meli hakuhitaji sifa kama za kwenye uandishi wa habari.Kwa kifupi kuna udini sana kwenye makampuni ya mzee huyu,utadhani utajiri wake kaupata kutoka kwa Waislamu pekee-juisi tunywe wote ajira wapewe kundi fulani ,hii wapi na wapimbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Wanakunywa sababu mkutano hawakuandaa wao,wao ni waalikwa tu,bado hawa wana udini acha kutuzubaisha hapaNeed I say more?View attachment 720909
Hao lazima wawepo sababu ni watu wanaoonekana Public kwenye TV. Na hao wamewekwa makusudi ili isiwe rahisi kugunduaCharles Hillary, Ivona Kamuntu na wengineo.
I love uuuu!!!Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Sitapost dhihaka kwa dini yenu kama ulivofanyia wakristo coz haina maana. Wote tutaonekana watu wa ajabu. So endlea tukaka ebu niambiee huu kama sio ukafiri ni nini?
Hahaaaaaa n sawa na ssmiz kujiondao kwenye kund haina madhara yoyote yake ,,,ukienda kwa mam ntilie ama kwa mkeo usile hatachapat mana unga ni wa baresa na viungo kibao vinatoka kwakeMimi nilishaacha kutumia bidhaa za Azam ata juice kaweka nembo ya msikiti na maneno yasiyojulikana.Acha kulalamika natususie bidhaa zake awauzie waislam.
Kivip wakat tumeajiriwa azam na mnalalamika hamuajiriw kwa bakhera??? Kweli kuwa shoga lazima akili ifyatukeHahaha...wasiofanya kazi ni nyie vibarakashia wa pwani...kutwa kushinda vibarazani.
Naskia na dera sikuhizi mwavaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
vipi na ndege alizoagiza utasusia kupanda? utajiumiza braza [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilishaacha bidhaa zao zamani na nembo yao ya halal.
kaagiza ndege 15 vipi mkuu nazo utasusia kupanda? [emoji23][emoji23]Kuanzia sasa sitatumia bidhaa ya bhakhresa
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Jamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
Sawa sheria inakuwa haijavunjwa lakini tatizo ni moja tu, moja tu ukumbuke tatizo ni moja tu wateja wa bidhaa zake sio waislamu peke yao.
Huu udini wa ndugu zetu unaharibu Taifa letuSio yeye tu nimegundua migahawa mingi hapa mjini kama boss ni muislam basi wafanyakazi wooooote wanakuwa waislam