Huwa inawauma sana mkiona msikiti uko eneo la kazini. Usipokuwapo kisha waislam wakawa wanaenda mbali kusali hamchelewi kusema wanapoteza masaa kwenye kusali.Kama iki kiwanda cha tazara kina ad msikiti ndani pia bado wafanyakazi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndani mslam wa kitanzania ana treat wa tofauti na wenye asili ya ki asia
Wewe ulitaka kujua maana ya Sunnah na sio origin yake.Origin yake ni nn
Sasa huu si ndo udini unaoufany wwMimi nilishaacha kutumia bidhaa za Azam ata juice kaweka nembo ya msikiti na maneno yasiyojulikana.Acha kulalamika natususie bidhaa zake awauzie waislam.
Hahaha...slow down kijana wa Muddy.Unaushahid? ushawah kuliwa nn na mvaa kibarakashee??
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kamuambien nabii tito wenu mfungue kampuni yenu
Huwezi kujibu hoja nzito kama hii kwa majibu mepesi kama hayaJamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
kaka ebu niambiee huu kama sio ukafiri ni nini?Teh teh teh. Inachekesha kweli kuona waafrika wanaitana makafiri kisa dini ya waarabu/wazungu. Wakati hao walioleta hizo dini wanawabagua waafrika hata kama wana dini sawa nao.
Asee mbna wasio Waislam wananyanyasika sana nchin Tanzaniakuna dogo mmoja alikuwa anapenda sana kufanya kazi kwenye kampuni ya bakhresa ya pale buguruni akafanya michakato wee akampata mtu wa kumuunganisha akapata kazi kwa kuhonga tsh 70000/=akafanya siku ya kwanza akawa kosa alolifanya ni kujitambulisha kwa jina la kikristo basi nasikia alikuwa anabaguliwa hata kazi yenyewe haikuchukua wiki
Acha walalamike. Mbona waislam wamelalamikia mfumo kristo lakini hawajapata lolote....Serikali ya Rwanda imeshalalamikia tayari huo ubaguzi!
Tumesema Waislam Ni 99% na makafiri 1%sio kweli kwamba kuna udini,Tunaomba takwimu za wajiriwa wote wa azam,
Muongozaji wa kipindi cha RACING SHOW anaitwa michael maluwe,mchambuzi wa soka wa azam anaitwa walter harison,wasomaji wa taarifa ya habari kuna charlesi hHilary,na Evona Kamuntu, je hao dini gani mkuu?
kuwa muazi sema tu uliomba kazi ukakosa basi...
Hao Ni Waislam watupuVip kuhusu
Ivonna kamutu
Wasiwasi mwabulambo
Charles Hillary
Baruan Muhuza
Baraka Mpenja
Mtoa post ndo mdini kwendraaaaa
Sawa sheria inakuwa haijavunjwa lakini tatizo ni moja tu, moja tu ukumbuke tatizo ni moja tu wateja wa bidhaa zake sio waislamu peke yao.Mhindi naye akijenga Mall wapangaji wote Wahindi wenziye tena wa dini yake. Mimi naona ni mambo ya kibinafsi tu na ni hiyari ya mtu kutumia mali yake atakavyo. Hakuna sheria imevunjwa hapo!
Sawa baba Charity. inaelekea mwanao ulimpata kwa njia ya Charity au wewe ndo Charity hiyo baba ni cheo tu.Kwa sababu ni udini, na udini ni uovu
Serkalini wanejaa Waislam Acheni kutufumbaAcha walalamike. Mbona waislam wamelalamikia mfumo kristo lakini hawajapata lolote....
Tunaongelea udini hapa...acha akili za kukopaKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Siku hizi wamesoma? Si mlikuwa mnawananga kwamba hawajasoma kisa mahudhurio ya madrasa....Serkalini wanejaa Waislam Acheni kutufumba
Kama hamsomi tufanyejeKama rcdb kuna kimaro,mushi,kiria, n.k