Hayo yalisemwa jana na mh.mkosamali wakati akichangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi,alisema hawana msimamo katika hoja zao na wanafanya mambo kwa kufuata upepo.
Alisema,wakati mh mbatia alipowasilisha hoja binafsi juu ya mfumo mzima wa elimu,wabunge wengi wa ccm walipinga kwa nguvu zote(wanaunga hoja ya mbatia iondolewe ndiiooooo)
Lakini baada matokeo mabovu,tume iliyoundwa walikubaliana nayo,kama sio unafilki ni nini? Alisema.
Pia alisema waziri wa elimu na naibu wake hawana uwezo wa kuongoza hivyo waachie ngazi mara moja.
Hivi hawa maccm,visingekuwepo vyama vya upinzani hali ingekuaje wadau?