Bajeti Ya W/Elimu - Jedwali Ukarabati wa Shule lapingwa

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
271
Ni jedwali lenye idadi ya shule kwa kila mkoa na pesa iliyotengwa kukarabati shule za Serikali,

Wabunge wengi wameikataa huku wengi wakishangaa mkoa Kilimanjaro kupewa mgao wa shule zaidi ya 120 wakati mkoa kama Lindi na Mtwara shule 42 tu. Wengine wameenda mbali na kusema kuna watu wanahujumu Serikali pale wizarani na Mh Jenister Mhagama na wengine kutishia kuondoa shilingi endapo mgawanyo huo hautakuwa sawa kwa nchi nzima.

Nawakilisha!
 
  • Thanks
Reactions: H20
Suala linakuja kuwa Kilimanjaro kuna shule nyingi mno kuliko mikoa mingine.Kwa hiyo hata linapokuja suala la bajeti ya ukarabari wa shule; lazma kilimanjaro iwe na shule nyingi zaidi ya nyengine.Ni sawa na uwe unataka kutenga hela kwa ajili ya kutengeneza magari ya halmashauri.Halmashauri ya kinondoni ina magari 100, na ile ya mufindi magari 6. Hivi unadhani utatakuwa na bajeti inayofanana kwa hizi halmashauri mbili?
 
Hawajui kuwa Mh.Kawambwa kaoa uchagani?chezea mchaga weyeee!!!!!!!!viongozi wa ccm karibu wote wameoa uchagani,wafanyakazi TRA,wizara ya Elimu,Wizara ya fedha wanatoka Kilimanjaro unategemea nini?
 
Tatizo kila sehemu kunakuwa na maslahi binafsi either ya kiongozi mmoja au zaidi kaanchi kadogo lakini ubadhirifu mwingi.
 
Hawajui kuwa Mh.Kawambwa kaoa uchagani?chezea mchaga weyeee!!!!!!!!viongozi wa ccm karibu wote wameoa uchagani,wafanyakazi TRA,wizara ya Elimu,Wizara ya fedha wanatoka Kilimanjaro unategemea nini?

teh teh! Mkuu ina maana hao wanasaidiana na wake zao kuandaa bajeti za wizara?
 
Hiyo concern naona imepigiwa kelele na wabunge wengi ila nafikiri ni jambo la msingi kama wizara ingetoa ufafanuzi ni utaratibu gani ulitumiwa kufikia huo mchanganuo wa mikoa kupewa fungu la ukarabati wa shule. Labda ni kwa proportion ya shule zilizopo katika mikoa . Yawezekana wametumia equity vs equality principle.
 
Bajeti inaenda kwa percentage. Mwenye shule nyingi atapata nyingi, mwenye chache atapata chache. Ukiwa na shule 700 10% yake itakuwa 70. Ukiwa na shule 200 utapata 20. Wengine wanasema Kilimnjaro ipunguzwe kasi ili walio nyuma wapewe zaidi. AKILI ZA KUKUPOPA
 
Suala linakuja kuwa Kilimanjaro kuna shule nyingi mno kuliko mikoa mingine.Kwa hiyo hata linapokuja suala la bajeti ya ukarabari wa shule; lazma kilimanjaro iwe na shule nyingi zaidi ya nyengine.Ni sawa na uwe unataka kutenga hela kwa ajili ya kutengeneza magari ya halmashauri.Halmashauri ya kinondoni ina magari 100, na ile ya mufindi magari 6. Hivi unadhani utatakuwa na bajeti inayofanana kwa hizi halmashauri mbili?
Kumbe hata wabunge hawajui hesabu za asilimia ambazo tulifundishwa darasa la nne.

Ukipiga kwa asilimia unaweza kukuta hao Lindi wametengewa hela nyingi kuliko hao Kilimanjaro.
 
Ni yale yale! Mabomba ya gesi yanaelekezwa huko juu. Na elimu nayo huku huko juu!
 
Hayo yalisemwa jana na mh.mkosamali wakati akichangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi,alisema hawana msimamo katika hoja zao na wanafanya mambo kwa kufuata upepo.
Alisema,wakati mh mbatia alipowasilisha hoja binafsi juu ya mfumo mzima wa elimu,wabunge wengi wa ccm walipinga kwa nguvu zote(wanaunga hoja ya mbatia iondolewe ndiiooooo)
Lakini baada matokeo mabovu,tume iliyoundwa walikubaliana nayo,kama sio unafilki ni nini? Alisema.
Pia alisema waziri wa elimu na naibu wake hawana uwezo wa kuongoza hivyo waachie ngazi mara moja.
Hivi hawa maccm,visingekuwepo vyama vya upinzani hali ingekuaje wadau?
 
Magamba yanarudisha nyuma maendeleo ya nchi. Hayatumii akili zao yanapelekwapelekwa 2
 
Mtatizo waliyonayo wabunge wa ccm ni kuiogopa serikali yao kuiumbua, na kupelekea mambo mengi wanapoyaona hayaendi vizuri serikalini, wapo tayari hoja hiyo kumpa mbunge wa upinzani aiseme bungeni. Kisa ni kuogopa kuhojiwa na chama kwa kidhalilisha serikali,
 
No! Inawezekana kwenye party caucus wanaelekezwa cha kujibu kama collective responsibility na kusahau kuwa kila mtu ana jimbo analoliwakilisha. Haiingii akilini mtu anasimama hata kabla ya kuchangia anasema anaunga mkono hoja kwa asilimia zote halafu baadaye anatumia dakika 9 kulalamika. Mwisho tena anarudia kuunga mkono hoja. Only in Tanzania. Let us wait for Tanganyika. I am sure things will change.
 
ndugu wana jf. Katika Dunia ya leo hatuwez kuwa na watu wanaotoa michango isionatija,hawaelezi nini kifanyike? nani awajibishwe ili kuleta dhana nzuri ya uongozi? hivi wabunge wa ccm mbona mmebweteka hivyo? au mmelewa madaraka? sijaona mchango wa Mbunge wa ccm kwenye wizara ya Elimu wenye tija kabisa?
 
mchango wao ni kwamba chadema ifutwe inafelisha raia kwa kuitisha maandamano. poor maccm cku zote tukisema chama tawala hakina akili watu hawaamini
 
Komba akukurupuka kwenye mashairi ya nyimbo huwaga anawaza viti vya wabunge wa CHADEMA viko wapi maana bila wao asingepata cha kusema. Imagine jimboni kwake hakuna shule hata moja yenye Advanced Level halafu anasema CHADEMA wameharibu elimu. Jamani huyu mtu anauhakika wa kumuona Mungu kweli?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom