Bajeti Ya W/Elimu - Jedwali Ukarabati wa Shule lapingwa

Wabunge wengi wa CCM wanasikitisha....Wanaonekana hawajali....is as if wanasehemu nyingine ya kwenda...is as if Tanzania sio nchi yao ni kama wameitwa kusaidia tu....hawana uchungu...hawachangii hoja kwa umakini na kwa kuumizwa na mambo yanavyokwenda....inahuzunisha sana..!!!
 
Komba akukurupuka kwenye
mashairi ya nyimbo huwaga anawaza viti vya wabunge wa CHADEMA viko wapi
maana bila wao asingepata cha kusema. Imagine jimboni kwake hakuna shule
hata moja yenye Advanced Level halafu anasema CHADEMA wameharibu elimu.
Jamani huyu mtu anauhakika wa kumuona Mungu kweli?

Muda wao wa kukaa bungeni ni mfupi acha waharishe walichonacho,2015 sio mbali.
 
Wabunge wengi wa CCM
wanasikitisha....Wanaonekana hawajali....is as if wanasehemu nyingine ya
kwenda...is as if Tanzania sio nchi yao ni kama wameitwa kusaidia
tu....hawana uchungu...hawachangii hoja kwa umakini na kwa kuumizwa na
mambo yanavyokwenda....inahuzunisha sana..!!!

Baba hela zimeshatangulia Uswisis chezea ccm wewe.
 
inasikitisha Mwigulu anaongea kwa nguvu sana kama vile anaongea point kumbe anachekea tumboni kuwa ana akili kuliko sisi wananchi kwa kutujaza upumbavu, hajui kuwa sisi ndio tunaomwona mpumbavu wa mwisho. all in all remember "you can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time" wakikukamata ndo end of history.hakuna majungu yasiyo na mwisho, haki ndio idumuyo milele
 
Wabunge wa CCM ni mitambo ya mipasho kazi kuvimba matumbo kama wamemeza vyura tuu
 
Komba akukurupuka kwenye mashairi ya nyimbo huwaga anawaza viti vya wabunge wa CHADEMA viko wapi maana bila wao asingepata cha kusema. Imagine jimboni kwake hakuna shule hata moja yenye Advanced Level halafu anasema CHADEMA wameharibu elimu. Jamani huyu mtu anauhakika wa kumuona Mungu kweli?
komba nae mwakilishi?kaenda kufuga tumbo tu bungeni!hajiulizi kawa mbuge lini mbaka leo hata uwazir hajawahi kupewa ndio ajione,nakujipima kwamba hata chama chake hakina uhakika nauwezo wake zaidi yakuimba mipasho uccemuni huko!hata A-level sec.jimbon kwake hamna!tumbo tu nakudanganya kalulu kawatu!
 
Back
Top Bottom