MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 271
Ni jedwali lenye idadi ya shule kwa kila mkoa na pesa iliyotengwa kukarabati shule za Serikali,
Wabunge wengi wameikataa huku wengi wakishangaa mkoa Kilimanjaro kupewa mgao wa shule zaidi ya 120 wakati mkoa kama Lindi na Mtwara shule 42 tu. Wengine wameenda mbali na kusema kuna watu wanahujumu Serikali pale wizarani na Mh Jenister Mhagama na wengine kutishia kuondoa shilingi endapo mgawanyo huo hautakuwa sawa kwa nchi nzima.
Nawakilisha!