Hussein Abdallah
Member
- Nov 1, 2006
- 73
- 9
Si kinywaji pekee na uzinzi .
Unadhani nani anafidia misamaha ya kodi ya hawa wenye madini,wewe ndiyo inabidi usome vizuri.Huu ni mmoja ya usanii wa maandishi wa serikali hii.
kama hawalipi Kodi katika Mafuta ambayo siye tunalipia kwa bei ya juu,nani anafidia ??
Mimi ninafafanua bandiko lako hapo juu, kuwa misamaha ya mashirika ya dini inalipwa na serikali, sound unashindwa ku defend hata ulichoandika mwenyewe sasa unaleta habari ya misamaha ya mafuta!
Usalama wa taifa kwanza inabidi bajeti yao iongezwe ili wawakomeshe wale wanaopinga maendeleo ya nchi kina Mwanakijiji, Mwafrika wa kike (sijui kaenda wapi huyu) na wengine wote.
Hongera RO kwa kazi nzuri ya kulinda amani na usalama wa nchi. Kidumu chama cha mapinduzi.
The same shit in his head thinking he has got brain ? Unaatia kinyaa wewe mpuuzi na ugonjwa wako wa amani na kudhani Tanzania ni ya CCM .
Inawezekana hata gharama zimepanda kwa wao,ili kukabili mfumuko inabidi na wao waongezewe..
kazi za usalama wa taifa
-Kuhakikisha kwamba viongo wa TA Ughaibuni ni wale wanao kiunga mkono chama cha CCM.Mfano mzuri we all know what happened in London na Usalama walishiriki moja kwa moja kuhakikisha watu ambao si wana CCM wanapigwa chini .
-Kuwakamata wapemba kwa kutoa mawazo yao .
-Kuhakikisja CCM wanapitisha kwao pesa za kuhonga na kushinda uchaguzi
-Kuiba kura
-Kuzuia sauti za wananchi kusema ukweli
-Kuhakikisha Sinclair na wezi wenzake wanaiba kwa amani bila kuhojiwa
-Kushiriki uuazaji wa Nchi
-Kuwakamata wana JF kila wakijarubu jambo
-Kula mikakati ya kuwaumiza wapinzani
Mengine mtaendelea nayo wenyewe
ni kweli, gharama za kulinda usalama wa nchi zimeongezeka maana sasa hivi watu wanatumia mitandao kueneza habari zao za chuki dhidi ya serikali ya ccm na viongozi wake. Inabidi usalama wa taifa waongezewe pesa ili waweze kupambana vizuri na wapinzani ambao hawaitakii Tanzania mema. Upo hapo?
unalolisema naalijua,ila kwa taarifa yako Makumpuni ya MAdini kwa mafuta wanayoyatumia,hawayalipiii kodi.kila kitu wanachotumia hawatozwi kodi
Masatu upo ? Ulikuwa unangojea Bunge ndiyo urudi ?
Si kinywaji pekee na uzinzi .
Kumbe ndiyo maana uko hapa, eh?
jasusi, sio suala la mimi kuwa hapa, kinachoongelewa hapa ni suala la usalama wa taifa kuongezewa bajeti. Mimi naunga mkono usalama wa taifa kuongezewa bajeti ili waweze kudhibiti watu wanaotishia usalama wa nchi kama baadhi ya members hapa (unataka nikupe majina?) na kupambana na wapinzani wana chadema na wana cuf ambao wanatishia usalama wa nchi.
Hivi hawa usalama wa taifa hasa ni nini?mbona hatuoni kazi zao?au ndio kuwa erase akina balali na chifupa na kuhakikisha ccm inashinda kwenye every election.
Cheers.