Bajeti kuu leo, bunge kuoneshwa live

Bajeti kuu leo, bunge kuoneshwa live

Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.
"Hatutatulia vitini" ok, wewe ni mbunge wa upinzani!?
 
Hahaha unamchukia mtu hata asiyejua kama kuna binadamu kama wewe Dunia hii? Ninyi ndiyo wale watu mnaopenda msipopendwa!
Ukiwa kiongozi unajulikana na kila mtu hata kama huyo kiongozi hawajui watu wote. Raha ya kiongozi yeyote ni kupendwa na jamii, sasa kama upepo unaonyeshwa hupendwi na wengi na wewe hujali basi utakuwa huna kipaji cha kuwa kiongozi. Yaani kubebwa ndio tegemeo lako. Mitandao ya kijamii na media inaweza kukupa upepo wa hali ilivyo.
 
walisema hawanahaja ya kuonyesha ,HERI KUANGALIA NDONDO CUP
 
We nae kaa utulie mbona ww ulikuwa unamchukia obama

Sijawahi kutamka neno namchukia Obama au mtu yoyote yule ambaye simjui na wala simfahamu, huwa natoa tu maoni yangu kulingana na jinsi ninavyoona lkn siwezi kusema namchukia, kwani ni ujinga na siyo haki pia kwa kuwa huyo ni Kiongozi na Uongozi una mambo mengi sana hivyo unavyosema unamchukia mtu ina maana unamjua na kumfahamu kwa undani na kwamba yale anayoyafanya unafahamu kabisa kwamba anayafanya kwa makusudi na kwa matakwa yake na yako ndani ya uwezo wake!
 
Vipi tena leo watu wasifanyekazi tuangalia BUNGE au pesa ya kuwa live imepatikana?
 
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.

Kwani wanawahitaji Wapinzani kuwapo Bungeni?
 
Umehisi ndivyo sivyo naibu spika kama kawa yupo kitini
 
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.

mkuu Tulia ndio spika wa bunge hili, Ndungai ndio naibu
 
Bunge leo wakati wa bajeti litakuwa 'Live' kuruhusu wananch kufahamu yaliyomo mwaka wa fedha 2016 & 2017.
 
Na umeme wameshakata wako kimkakati wapinzani HAWAPO kumbe siwezi angalia coz hakuna faida nitakayopata
 
Back
Top Bottom