Nilisikia mheshimiwa Ndugai ni mgonjwa.Sijui kama atakalia kiti.kofia leo ivaliwe na mh. ndungai.
Hivi vigezo unavyovielezea hapa ndo umchukie mtu vimeanzishwa kwenye sheria gani? Km ni mpya na wewe ndo mwanzilishi wake napendekeza iitwe vigezo vya kumchukia mtu.Sijawahi kutamka neno namchukia Obama au mtu yoyote yule ambaye simjui na wala simfahamu, huwa natoa tu maoni yangu kulingana na jinsi ninavyoona lkn siwezi kusema namchukia, kwani ni ujinga na siyo haki pia kwa kuwa huyo ni Kiongozi na Uongozi una mambo mengi sana hivyo unavyosema unamchukia mtu ina maana unamjua na kumfahamu kwa undani na kwamba yale anayoyafanya unafahamu kabisa kwamba anayafanya kwa makusudi na kwa matakwa yake na yako ndani ya uwezo wake!
mkuu huo utafiti umeufanya wap mpaka ukaja na matokeo kuwa dr tulia hapendwi?Ukiwa kiongozi unajulikana na kila mtu hata kama huyo kiongozi hawajui watu wote. Raha ya kiongozi yeyote ni kupendwa na jamii, sasa kama upepo unaonyeshwa hupendwi na wengi na wewe hujali basi utakuwa huna kipaji cha kuwa kiongozi. Yaani kubebwa ndio tegemeo lako. Mitandao ya kijamii na media inaweza kukupa upepo wa hali ilivyo.
Hahahhahaha au kubana matumizi.... hahahhaa wanataka tusikie jinsi kodi ilivyopandishwaBunge leo ni Live, lengo ikiwa ni kuwawezesha wananchi kufuatilia mpango wa serekali kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Mpango wa serikali upo kwa leo tuu?
Mbowe hadi machozi humtoka kwa kumuogopa Jemedali Tulia.Tulia anakaa kitini , lazima ufipa wakimbizane kama nyumbu wana vyomuogopa
Hamjalazimishwa kuangalia....walisema hawanahaja ya kuonyesha ,HERI KUANGALIA NDONDO CUP
Kwa leo mnaweza angalia ni jambo muhimu...Vipi tena leo watu wasifanyekazi tuangalia BUNGE au pesa ya kuwa live imepatikana?
Mi simpendi huyo Tulia hata nikimuona kwenye taarifa ya habari huwa nabadili channel
Hayo mengine hayakuwa ya muhimu?Kwa leo mnaweza angalia ni jambo muhimu...
Pole yako. Mpaka 2020 and may be mpaka 2025!Mi simpendi huyo Tulia hata nikimuona kwenye taarifa ya habari huwa nabadili channel
Hata mimi naomba iwe hivyo!Naomba saana mh Ndugai asiwepo ili awa nyumba wasionekane kabisa!