Bajeti kuu leo, bunge kuoneshwa live

Bajeti kuu leo, bunge kuoneshwa live

Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.
Daaaa hii serkali yetu kweli ni kiburudisho yaani leo siyo siku ya kazi?
 
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.
Sidhani ndugai kama yupo bungeni maana namuona tena Tulia huyooo anaingia na wana upinzani ndio haooo wanajiondoa taratiiibuuuu
 
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.

Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.
Hakuna, ni Tulia.
 
Kwa nini waonyeshe live wanataka watanzania tusifanye kazi leo?. Kwa nini wasirecord na kuonyesha usiku?
Ndiyo ujue kuwa Tanzania ni zaidi ya burudani tosha kuishi
 
Kwa nini humpendi mwanamke mwenzio.

Yuko pale kuwawakilisha wanawake wa nchi hii...
kwani anawawakilisha wanawake tu? mi nahisi anawawakilisha watu wote,,,,,,,,,,,watanzania kwa ujumla
 
Nimeona mijadala mingi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii ikionesha hisia tofauti kuhusu bajeti kusomwa live.

Wengi wanasema leo ndio bunge limeanza kuoneshwa live ila wapo wachache wanaobisha huku wakizidiwa nguvu na wengi.

Binafsi nimeshaliangalia mara kadhaa bunge hili likioneshwa live.Nataka kujua hivi wanaosema limeanza leo wanamaanisha nini hasa?
 
Back
Top Bottom