Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,547
Ambao hatuna azam imekula kwetuZitto yupo studio Azam TV, tayari kwa uchambuzi wa hotuba ya bajeti mara tu ikimalizika kusomwa.
Ambao hatuna azam imekula kwetuZitto yupo studio Azam TV, tayari kwa uchambuzi wa hotuba ya bajeti mara tu ikimalizika kusomwa.
Ni kawaida ya wanawake kutopendana.
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.
Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.
Kwani hujaelewa wapi?nimesema lilikuwa live kabla ya leo.Hivi hapo kwa mtazamo wako ulikusudia kuandika kitu gani haswa? Ina maana hujui kuwa serikali imekataza bunge kuonyeshwa live kwa hoja ya kuwafanya watanzania wafanye kazi badala ya kuangalia tv?
Hiyo session ilikuwa live ama sio live.Neno live mnalitumiaje katika mjadala huu????Kuna bajeti ya wizara yoyote au mjadala uliwahi kuangalia live katika hizo siku ulizoangalia zaidi ya session ya maswali na majibu tu!?
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKwani hujaelewa wapi?nimesema lilikuwa live kabla ya leo.
Aliyekuroga kafa.Hiyo session ilikuwa live ama sio live.Neno live mnalitumiaje katika mjadala huu????
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na kuoza kashaoza.Aliyekuroga kafa.
Pole yakoMi simpendi huyo Tulia hata nikimuona kwenye taarifa ya habari huwa nabadili channel
mkuu huo utafiti umeufanya wap mpaka ukaja na matokeo kuwa dr tulia hapendwi?