mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Naona kwenye ratiba ya Azam TV, wanatarajia kuonesha bunge live kuanzia saa tatu hadi saa saba mchana.
Nahisi spika Ndugai ataongoza kikao cha leo, ili kuzuia wapinzani kutoka nje, maana akikaa Tulia wapinzani hatutatulia vitini na tukio hilo litaonekana live nchini na duniani.