THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Mbona mimi nimeshaliona tena live mara kadhaa kabla ya leo?ni leosio kwamba itakuwa siku zote!
Mbona mimi nimeshaliona tena live mara kadhaa kabla ya leo?ni leosio kwamba itakuwa siku zote!
Of what use? Nitazima kila kitu na kesho sinunui gazeti. Ili nisome kitu gani? Nisikilize kitu gani? Kila kitu kinajulikana. hakuna jipyaKuna taarifa kuwa bajetI inayotarajiwa kusomwa kuanzia saa kumi jioni ya leo itakuwa live kwenye tv karibu zote, itakapoaanza tupeane taarifa wadau
Kuna bajeti ya wizara yoyote au mjadala uliwahi kuangalia live katika hizo siku ulizoangalia zaidi ya session ya maswali na majibu tu!?Nimeona mijadala mingi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii ikionesha hisia tofauti kuhusu bajeti kusomwa live.
Wengi wanasema leo ndio bunge limeanza kuoneshwa live ila wapo wachache wanaobisha huku wakizidiwa nguvu na wengi.
Binafsi nimeshaliangalia mara kadhaa bunge hili likioneshwa live.Nataka kujua hivi wanaosema limeanza leo wanamaanisha nini hasa?
Ccm ingependa Watanzania wote wawe kama wewe watawale kwa starehe.Mbona mimi nimeshaliona tena live mara kadhaa kabla ya leo?
Mi simpendi huyo Tulia hata nikimuona kwenye taarifa ya habari huwa nabadili channel
Hivi hapo kwa mtazamo wako ulikusudia kuandika kitu gani haswa? Ina maana hujui kuwa serikali imekataza bunge kuonyeshwa live kwa hoja ya kuwafanya watanzania wafanye kazi badala ya kuangalia tv?Nimeona mijadala mingi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii ikionesha hisia tofauti kuhusu bajeti kusomwa live.
Wengi wanasema leo ndio bunge limeanza kuoneshwa live ila wapo wachache wanaobisha huku wakizidiwa nguvu na wengi.
Binafsi nimeshaliangalia mara kadhaa bunge hili likioneshwa live.Nataka kujua hivi wanaosema limeanza leo wanamaanisha nini hasa?
Hilo swali ni gumu sana kwake kulijibuKuna bajeti ya wizara yoyote au mjadala uliwahi kuangalia live katika hizo siku ulizoangalia zaidi ya session ya maswali na majibu tu!?
Na wa aina hiyo ndio walio jazana hasaCcm ingependa Watanzania wote wawe kama wewe watawale kwa starehe.
Secretary wa rais huyo. Anamwakilishaa raisKwa nini humpendi mwanamke mwenzio.
Yuko pale kuwawakilisha wanawake wa nchi hii...
Ukitoa tu wengine wanawekaMi simpendi huyo Tulia hata nikimuona kwenye taarifa ya habari huwa nabadili channel
Ina maana leo Nape anataka tushinde njaa na kulala njaa kwa kutizama Bunge? Hii sio sawa kabisa ukizingatia hatujamaliza palizi huku mashamban! Hahaha!
Kwahiyo leo iatkuwa siku ya mapumziko? Maana si hawataki watu waangalie bunge "eti ili wafanye kazi"
Lisionyeshwe laivu ili kubana bajeti na kuwafanya watanzania wakafanye kazi, au leo itakua Public? Pumbafu kabisa
kwani leo watu hawahitaji kufanya kazi?
Kwa nini waonyeshe live wanataka watanzania tusifanye kazi leo?. Kwa nini wasirecord na kuonyesha usiku?
Hata kama ni huyo tulia hilo bunge siliangalii
Ha ha haaa watu mna visa nyie loohKwani watu wamepewa likizo waweze kuangalia bajeti majumbani mwao!?