Bajaji Mbeya hazizingatii usalama barabarani

Vivax

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
517
180
Katika jiji la MBEYA

Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI.

Kuna hivi vigari vya tairi tatu.

Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa.

Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani.
Kitendo ambacho ni hatari sana.

Au kwenye taa za kuongozea magari inapokuwa zamu ya watu kwa miguu kupitia na zenyewe zinapita tena mbele ya trafiki polisi bila woga.

Bajaji anasimama mbele ya gari kubwa kwa ghafla ya kutisha akiwa na abiria kwa imani kwamba AKINIGONGA NI KOSA LAKE.

Kama hao bajaji wapo juu ya sheria, basi tutakuwa tumetengeneza kilema kikubwa kwa taifa.

Vyombo vya moto (magari nk) havina tofauti na bunduki.

% > waendeshaji bajaji hawana leseni.

Swali:- kwanini?
 
Wamiliki wa bajaji na boda boda Tanzania ni Askari, Wabunge, wafanyakazi wa mashirika ya umma, wafanyakazi wa halmashauri na majiiji. Ushapata jibu.
 
Katika jiji la MBEYA

Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI.

Kuna hivi vigari vya tairi tatu.

Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa.

Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani.
Kitendo ambacho ni hatari sana.

Au kwenye taa za kuongozea magari inapokuwa zamu ya watu kwa miguu kupitia na zenyewe zinapita tena mbele ya trafiki polisi bila woga.

Bajaji anasimama mbele ya gari kubwa kwa ghafla ya kutisha akiwa na abiria kwa imani kwamba AKINIGONGA NI KOSA LAKE.

Kama hao bajaji wapo juu ya sheria, basi tutakuwa tumetengeneza kilema kikubwa kwa taifa.

Vyombo vya moto (magari nk) havina tofauti na bunduki.

% > waendeshaji bajaji hawana leseni.

Swali:- kwanini?
Mkuu unaongea za Mbeya hizo chache? Huku DAR kwenyewe bodaboda na bajaji hawana sheria zozote za kufuata!
 
Back
Top Bottom