Bajaj kuingia UBER ni maumivu matupu

Sasa si bora muwateme hao uber, it doesnt make sense. Kama kwa siku unaweza kusave hata elfu 10 usipokuwa uber na hio iwe mbali na matumizi ni kiwango kizuri. Kwa mwezi ni laki 3!
Kwa Bajaj ni maumivu maana hata mjini hawaruhusiwi kuingia
 
Kwa akili za Madereva Bajaj name Requirements za UBER ikiwemo makato ya 25% lazima mtoke nduki muda si muda
 
Kwani ni mkataba wa maisha?Wakiona haiwalipi waachane nayo

Juzi kuna jamaa kanibeba kutoka UBT hadi Mwalimu House pale Ilala ikamsomea 3000.
 
Kwani ni mkataba wa maisha?Wakiona haiwalipi waachane nayo

Juzi kuna jamaa kanibeba kutoka UBT hadi Mwalimu House pale Ilala ikamsomea 3000.
Uber Poa (Bajaj au UberX (gari)? Bila shaka alisonya
 
Kiukweli hapa katika hizi gharama kuna mkono wa serikali sio bure, serikali ya Tanzania ipo vizuri kwenye kuharibu na kuvurunda mambo tu na sio kujenga mazingira mazuri kwaajiri ya biashara......nakwambieni tena...
 
Uber ndo inatrend kwa sasa duniani kote, itafika sehemu kama haupo uba haupati abiria, maana watu wanataka security, maderwva wauber hakuna mhuni, maana abiria akifanyiwa uhuni uber wanahusika. So kama hauwezi mkuu peleka bajaj yako mikoani
 
Nliwahi kuishi bangarole, mpaka dereva wa auto (huku tunaziita bajaj) unamhurumia, mtu unatembea umbaliwa kama dar kibaha then unalipa 7000 tu.ambayo ni rupee 200-230
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom