and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,704
Ndugu zangu Bajaj mmeingia cha kike kujidai wa kishua kujichanganya kwa mabepari UBER hela hiyo hiyo ununue Smartphone, bundle, powerbank, 25% ya UBER, airtime ya kumpigia abiria ukifika alipo, vibali, mafuta, service. *Akili ni nywele*