Bai Bai Avatar!

Bai Bai Avatar!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Hamjambo wanachitchat? Mimi mzima wa afya ila naingia hapa kwa huzuni kubwa.
Wapendwa, mtakumbuka kwamba nilikuja hapa chitchat tarehe 9/5/2013 kueleza nia yangu na sababu ya kubadili avatar
KWENYE HII THREAD Wapo walionielewa wakaivumilia hii avatar ila wengine hapa JF walilalamika sana kwamba avatar hii ni ya 'ovyo'. Jana tarehe 26/5/2013 katika jukwaa la Jamii Photos mdau mmoja akaitolea avatar uvivu kwa kusema:
'Mwana JF Hygeia, kwa upande wangu naiona hiyo avatar yako haipendezi, inatisha, inakera, ni mbaya!!! Nakushauri uibadilishe, ukipenda sawa, usipopenda sawa,huu wangu ni ushauri tu siyo amri' Aliyesema haya maneno ni Mama Mdogo. Wengine walihusisha hii avatar na albinism na uchunaji ngozi! Too bad!

Hayo mawazo yamenifanya niachane na hii avatar kuanzia leo mchana.

Nitarudia ile avatar ya zamani ingawa imenichosha sana
hygeia
 
Last edited by a moderator:
In Greek and Roman mythology, Hygieia (also Hygiea or Hygeia, Greek Ὑγιεία or Ὑγεία, Latin Hygēa or Hygīa), was the daughter of the god of medicine, Asclepius, and Epione. She was the goddess/personification of health (Greek: ὑγίεια - hugieia[1]), cleanliness and sanitation. In this respect, i would suggest that you adapt one of the following diagrams/illu7strations/pictures as your avatar:

Hygeia_greek god of good health.JPGSimba.jpgBomu.jpgMbio.pngMaua.jpgCCM.jpg
 
Mh.... Kiukweli hata mie niilichukia sana ile avatar. nikiona thread yako wala hata siifungua kwa sababu ya lile liavatar. sasa nitakuwa nafungua thread zako. asante
 
Hongera kwa kukubali ushauri mkuu. Afu wewe mdada bado uko singo kama mimi-?
 
Mh.... Kiukweli hata mie niilichukia sana ile avatar. nikiona thread yako wala hata siifungua kwa sababu ya lile liavatar. sasa nitakuwa nafungua thread zako. asante
mi mwenyewe nilishaliota
hilo liavatar hahahaaa!!afadhali
ma mdogo katusaidia!!
 
bora kuwa na avatar sub zero ninja kama mimi tu
 
Kumbe sometimes kuna avatar zinawakera watu eenh!!
Sijui nianzishe biznesi ya kuuza avatar zenye mashiko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom