BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

niambie how automatic kuwa chama kimoja kikiondoka madarakani - mfano CCM na tishio la hima /Tutsi empire litakuwa limeondoka?, kama mtikila alikuwa mkweli yeye alituonesha kuwa mgombea mmoja wa chama pendwa cha upinzani alikuwa na back up Ya WAHIMA, Vipi kama chama hicho kingeshinda? je kama CCM inamfumo mzuri wa kuchuja wagombea kwa maslahi Ya utaifa, vyama vingine vina Mifumo hiyo, au vilishaingiliwa na rupiah ya hima empire?
kuna organ moja haifanyi vyama kazi yake. Most of people pro ni supporter ya hii agenda mbaya. Cancer killing us.
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Nyerere ana asili ya Burundi kama alivyo Zitto siyo Mnyarwanda na ni Mhutu.
 
kumbe ni nini?
Sifa kuu ya kabila ni kuwa na Lugha yake.. Naomba unitajie Lugha ya hilo kabila lako la "Hutu"

Ukifanikiwa kunitajia Hutu Language Niwekee namba yako ya simu nikutumie laki 9
 
Sifa kuu ya kabila ni kuwa na Lugha yake.. Naomba unitajie Lugha ya hilo kabila lako la "Hutu"

Ukifanikiwa kunitajia Hutu Language Niwekee namba yako ya simu nikutumie laki 9
Tuma huku fasta lugha yao ni kihutu
 
anajua anachokifanya, si ajabu yeye ni mmoja wa MASULIA 6000
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] unamaanisha wale MASURIA Kama wa mfalme Suleiman? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji86] [emoji85] [emoji85]
 
Mchango wako ni mzuri ila unatupeleka nje Ya mada. kwakuwa mada kuu ni kuilinda nchi yetu isinyakuliwe na "HIMA/TUTSI" empire basi ungeainisha namna gani katiba iwe ili kuimarisha utaifa na kuepuka blood suckinng habit Ya watutsi

Kwa angalizo hili la #mshana#, ni vema pia vyama vyote vikajiwekea mfumo wa kuchunguza wanachama na viongozi wake wasotokane nahao MASULIA kwa maelf waliopandikizwa na hima/tutsi empire, Kwani pamoja na kejeli zinazotolewa na baadhi Ya watu bado kunamhimili (wa usalama) ambao haujachakachuliwa na hautakubaliana na Kiongozi pandikizi (kutoka hima empire ) atakaye simikwa na chama chochote
Tuwekane sawa, Tanzania yetu ina jamii zenye asili tofauti tofauti ziwe zenye asili ya Kibantu na Kihamiti(kitutsi na kihutu) na zimetamalaki kila kona ya nchi yetu, tunacho hitaji tukikatae kama Taifa ni "Uhima Empire" uliobeba ukabila, kubebana, superiority kuona wao ndio wao kila kitu, kuona wao ndio watawala n.k ambayo wameyajenga toka muda mrefu ndani ya Taifa letu pitieni kumbukumbu mbali mbali mtayaona hayo na sio ya leo niya muda mrefu, na tuwe waangalifu ktk hili lisije kutugawa kama Taifa maana nilijuavyo ni zito mno.
 
Sifa kuu ya kabila ni kuwa na Lugha yake.. Naomba unitajie Lugha ya hilo kabila lako la "Hutu"

Ukifanikiwa kunitajia Hutu Language Niwekee namba yako ya simu nikutumie laki 9
lugha Ya wahutu ni "kihutu", ukishaelewa somo nitajie namba yako nikutumie complentary token Ya matumizi Ya one week pale KAGAME HOTEL wewe na partner wako.

Angalizo: Hakuna lugha Ya kitutsi kwakuwa hakuna kabila la watutsi

BTW:
KISWAHILI si lugha kwakuwa hakuna WASWAHILI
 
Hashindwi kukwambia ni wanywaranda
Unaanzisha mada ukiwa less informed , siku nyingine jitahid kuwa na taarifa za kutosha kwa mada uanzishazo...

Hivi unaelewa Mpaka asubuhi hii ni kosa la jinai nchini Rwanda kujiita Mhutu au Tutsi!!!!!!! Unaelewa maana ya kuwekwa hii adhabu kwa kujiita hivyo????? Nenda kawaulize wanaojua kinagaubaga masuala haya.

Unadhani inawezekana kufuta kabila??? Haiwezekani. Hutu sio kabila kwa sababu duniani hakuna lugha inayoitwa kihutu.

1506229273884.png
 
Du basi tumekwisha maana wa kwetu amewaamini hao jamaa kwa %100,tukae mkao wa kutawaliwa na kikundi cha watu wachache
 
Tuwekane sawa, Tanzania yetu ina jamii zenye asili tofauti tofauti ziwe zenye asili ya Kibantu na Kihamiti(kitutsi na kihutu) na zimetamalaki kila kona ya nchi yetu, tunacho hitaji tukikatae kama Taifa ni "Uhima Empire" uliobeba ukabila, kubebana, superiority kuona wao ndio wao kila kitu, kuona wao ndio watawala n.k ambayo wameyajenga toka muda mrefu ndani ya Taifa letu pitieni kumbukumbu mbali mbali mtayaona hayo na sio ya leo niya muda mrefu, na tuwe waangalifu ktk hili lisije kutugawa kama Taifa maana nilijuavyo ni zito mno.
Hima /Tutsi empire ni special case siyo rahisi kama unavyoitaja: Tz tuna watu wenye asili Ya masharik Ya mbali, hatuna hofu nao kwavile hawajaonesha hamu Ya kuua wenzao ili tu watawale, hawa tunaoaswa kuwatazama kwa jicho la kipekee wameonesha kwa vitendo utashi wa kutawala nchi na ukanda
 
Unaanzisha mada ukiwa less informed , siku nyingine jitahid kuwa na taarifa za kutosha kwa mada uanzishazo...

Hivi unaelewa Mpaka asubuhi hii ni kosa la jinai nchini Rwanda kujiita Mhutu au Tutsi!!!!!!! Unaelewa maana ya kuwekwa hii adhabu kwa kujiita hivyo????? Nenda kawaulize wanaojua kinagaubaga masuala haya.View attachment 594568
Usijtie ujinga ndugu yangu, hayo yamekuja baada ya mauaji ya kimbari mwaka 1994! Na uchonganishi waliochochewa hata wakauana kwa malaki hakuondoi ukweli kuwa kuna WATUTSI NA WAHUTU
 
Tuma huku fasta lugha yao ni kihutu
Nikikuita wewe ni kilaz.a Wa kiwango cha lami utakataa!??? Acha niwaachie wangwana wakukosoe.

Nakuomba uwe unafuatilia mambo kiundani kabla ya kuweka mada isiyokuwa na vigezo na ubora kwa kuwa na taarifa nusu nusu.

Kwa Ufupi Duniani Hakuna Lugha inayoitwa Hutu.

[HASHTAG]#BackToBoooksMovement[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom