Medicci
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 553
- 916
Tatizo letu watanzania tumekuwa waoga kupindukia, kuna msemo unasema kwa muoga utakaa sikia kilio cha msiba, kwamba kwenye nyumba za wale wanaojiona majasiri ndio Huwa vilio vya msiba husikika.
Watanzania tumekuwa waoga hata kupigania ya kwetu, ni kila MTU na tumbo lake, mfano Yale ya Prof. Mwijage kusema akifukuzwa kazi watoto wake wataishije.
Watanzania tumekuwa watu wakulalama, watu wenye huzuni na hatuna misiba.
Hakuna mwanasiasa atakayeifanya Tanzania kuwa njema ila ni sisi wenyewe watanzania.
Sizonje hajui madhara ya anayoyafanya kuwaalika hao au kuwaangalia kwa makengeza, na ndio maana Huwa nasema kwa kufumbia macho huku na huyu kiongozi wetu kuhusu hao wanyarwanda, either yeye personal kawa recruited kama asset au anamchukilia huyo jamaa wa bahima kama Big brother kama mentor wake. Tuamke watanzania tutaishia kunun'gunika tu huku nchi yetu inaoza.