Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,930
Rwanda kuna watusi na wahutu asilimia kubwa ya ethnicity ya huko rwanda ni wahutu...labda kama nao wanaongea kinyarwanda, vivyo hivyo burundi asilimia kubwa ni wahutu ila wanyarwanda nao pia wapo ila burundi wanaongea kirundi sasa sijawahifatilia kama kirundi na kinyarwanda kinafanana au hakifananiNimeshakwambia kama unataka kwenda huko huwezi kumuondoa Nyerere kwenye hiyo equation.
Kagame, Museveni na Nyerere hiyo triangle huikwepi na wote hawa watatu wana asili ya Unyarwanda, hivyo genocide ya Rwanda Kagame, Museveni na Nyerere wanajuana + Wazungu of course!
Isitoshe kwa kukusaidia tu Rwanda haina Makabila 2 bali ni Kabila moja tu linaloongea Lugha moja ya Kinyarwanda!